Bondia Mada Maugo Ajiunga na CHADEMA leo Tarehe 08/06/2013

Bondia Mada Maugo Ajiunga na CHADEMA leo Tarehe 08/06/2013

Wakaribisheni wapigania tumbo waliokosa chansi ccm wakaona waje kwa wapiga dili wenzao.

Ndugu masalia mbona unaweweseka? Wakati ule uko ndani ya chama kubwa ulikuwa unaheshimika lakini kwasababu ya usaliti sasa hivi umetumika kama condom. Jitambue kwanza ndipo ujithamini na utathaminiwa.
 
Na bado maana hata hata spika ndugayi yiko njiani kasema anatamani kuona chadema wanaingia ikulu du ameshapima upepo karibu kamanda maugo.
 
Na bado maana hata spika ndugayi yuko njiani kasema anatamani kuona chadema wanaingia ikulu du ameshapima upepo karibu kamanda maugo.
 
Salama WanaJF.

Bondia maarufu nchi Mada Maugo almaarufu King Junior amejiunga na chama cha demokrasia na maendeleo Chadema.
Muda mfupi ujao atakabidhiwa kadi na mjumbe wa kamati kuu kamanda Wakili Mabere Marando.

Nitumie fursa hii kumkaribisha ndani ya Chadema King Junior ili tusaidiane kuendeleza mapambano dhidi ya mkoloni mweusi.

Peoples Power!


Sasa kazi yake ya kwanza ni kuomba pambano la Raundi 12 kati yake na Savimbi wa Singida...

Karibu kundini Maugo...
 
Salama WanaJF.

Bondia maarufu nchi Mada Maugo almaarufu King Junior amejiunga na chama cha demokrasia na maendeleo Chadema.
Muda mfupi ujao atakabidhiwa kadi na mjumbe wa kamati kuu kamanda Wakili Mabere Marando.

Nitumie fursa hii kumkaribisha ndani ya Chadema King Junior ili tusaidiane kuendeleza mapambano dhidi ya mkoloni mweusi.

Peoples Power!

karibu man paquiao wa bongo. Magamba wakemewe na kila mwenye akili timamu
 
Mpaka 2015 wasanii wakubwa wengi watakua wamejoin CDM ,Chama dume
 
sooooooo nyc....................watajiunga wengi sana c wanaona ukweli uko wapi?
 
Mtanzania anayelipenda taifa letu lazima atajiunga na chadema. Taifa letu linahitaji mabadiliko ya kweli ili liendelee kuwa moja na lenye mshikamano daima!
 
Na bado wanakuja wengi tu ikumbukwe hawa mastar kila mmoja ana mashabiki kila kona ya tanzania,for the time bein ccm hawawezi kuiona impact ya hawa watu ila kwa upande wa cdm fursa washaiona na mda ukifika wataitumia ipasavyo....

safi sana
 
UVCCM bana yaani wameishiwa kabisa cha kuongea kweli mmepwaya kiupeo.Kila mtu anayejiunga CHADEMA lazima mumkosoe anyway wanatimiza haki yao ya kidemokrasia the right to join any political party.
 
Mwenye 'POST' ungeambatanisha na picha ndo habari ingenoga.
Vinginevyo, huyu jamaa atatusaidia kupambana vimbelembele vya KIJANI GUARDS...
Peoplesssssssssssssssssssssssssssss
Powaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom