Bondia Mada Maugo Ajiunga na CHADEMA leo Tarehe 08/06/2013

Bondia Mada Maugo Ajiunga na CHADEMA leo Tarehe 08/06/2013

Safi sana,
Ukishamjua Mungu yupo upande gani huwezi kuvumilia mateso ya shetani.
CCM ni shamba la shetani

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Vizuri sana. karibu Maugo. Hata wale wasioipenda siasa njia pekee na salama nikujiunga na cdm ili kuunganisha nguvu ya pamoja kuwaadabisha mafisadi. kinyume na hapo ni wao na watoto wao kuendelea kuifaidi nchi hii huku umma wa waliowengi wakinyongonyea.

Tumechoshwa na ufisadi na maamuzi ya kibabe ya magamba. Let' s unite for peaceful revolution!
 
CDM waambieni ma-stars waanze fasta m4c- Tulipata uhuru kwa njia ya amani, tutafanyamageuzi ya kidola na uongozi kwa njia ya amani!
 
Naendelea kufuatilia mwishoni niwe na cha hapa mtaa wa ghana kimbangulile mbagala MIhanzani
 
Wakati Mwigulu akitembea na aliowaathiri kwa tindikari ktk kampeni zake, cdm tembeeni na ma-stars hao mijini na vijijini kuleta mageuzi yaliyosalama na amani.
 
Nyie cdm mnahangaika kweli? Who is Maugo? Mtu mmoja kujiunga na chama unapost. Hivi humo kichwani kumetimia? Lete maada za msingi humu.
Moja na moja mwishoni nhuwa mbili! CHADEMA ni sehem inayotoa fursa kwa wote mkuu hata wewe unakaribishwa,ukijiunga tu,tutatupia habari zako hapa.
 
Nyie cdm mnahangaika kweli? Who is Maugo? Mtu mmoja kujiunga na chama unapost. Hivi humo kichwani kumetimia? Lete maada za msingi humu.

Umesahau kuwa mmoja akimrudia Mungu ni sherehe Mbinguni?
 
karibu sana kamanda ccm imeshakufa tunasubiri maziko 2015
 
Attachments

  • 20130608_135834.jpg
    20130608_135834.jpg
    378.6 KB · Views: 240
Bondia machachari nchini Mada Maugo jana alijiunga na chadema. Akikabidhiwa kadi na Mh Mabere Marando Maugo alisema Chadema ndicho chama pekee kitakachoikomboa Tanzania.
Source: Tanzania Daima Jumapili uk 23
 
Huu ndiyo mgomo wa kweli ninaoutazamia. Ukombozi wa kweli wa taifa hili utafanikiwa pale watu wote wakijitambua na kujitokeza kwa wingi kushiriki katika siasa, kupiga kura na kugombea nafasi mbali mbali za uongozi.

Wasanii wa Muziki, filamu, mabondia, wachezaji wa mpira n.k. endeleeni kujitokeza kwa wingi kupigania haki zenu.
 
Mada Maugo, huu ni uamuzi wa busara!... Mageuzi hayaji kwa kuletewa nyumbani, ni lazima uyapiganie. Tunafurahi kuungana nawe kwenye harakati muhimu za mageuzi ya kisiasa na kiuchumi.
 
Bondia machachari nchini Mada Maugo jana alijiunga na chadema. Akikabidhiwa kadi na Mh Mabere Marando Maugo alisema Chadema ndicho chama pekee kitakachoikomboa Tanzania.

Huu ndiyo mgomo wa kweli ninaoutazamia. Ukombozi wa kweli wa taifa hili utafanikiwa pale watu wote wakijitambua na kujitokeza kwa wingi kushiriki katika siasa, kupiga kura na kugombea nafasi mbali mbali za uongozi.

Wasanii wa Muziki, filamu, mabondia, wachezaji wa mpira n.k. endeleeni kujitokeza kwa wingi kupigania haki zenu.

Huu ni Mtizamo mzuri: Hivyo Waalimu, madaktari, wakulima, wafanyakazi, wafugaji, na wafanyabiashara acheni migomo isiyo na tija jiungeni na CHADEMA tujipange pamoja na kulikomboa taifa.
 
bondia machachari nchini mada maugo jana alijiunga na chadema. Akikabidhiwa kadi na mh mabere marando maugo alisema chadema ndicho chama pekee kitakachoikomboa tanzania.
Source: Tanzania daima jumapili uk 23
ahsante kwa taarifa kamanda,bado tunasubiri tu mjomba mrisho mpoto amalizie kazi ili 2015 njia nyeupe dr.slaa magogoni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom