mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,502
- 256
Safi sana Kapteni Komba alikuwa najifanya bondia bungeni sasa tumemletea King Juniour!
hata jumamosi huwa lumumba wanalipa ile posho yetu ya sh 7000 au mpaka jumatatuYaani sasa ni rasmi kitengo cha ugaidi na sumu cha chama kimepata mwenyewe
Yaani sasa ni rasmi kitengo cha ugaidi na sumu cha chama kimepata mwenyewe
Naona unatafuta BASHA, waliberali mwaka huu mtaumia sana kwa kutafuta mabasha.
Sishangaii huyu bondia si wa mkoa uleeeee
maswaswa; Mbona unakuwa kama unawashwa Madam/Sir kwani tatizo liko wapi, Maugo Jr amepima hali halisi na kuona chama safi kisera na malengo ya kumkomboa Mtanzania wa hali kama yake ni CHADEMA sasa wewe mapovu yanatoka wapi? CCM kinapendwa na mafisadi, watoto wao,ndugu zao au wale wasiojitambua!
Nyie cdm mnahangaika kweli? Who is Maugo? Mtu mmoja kujiunga na chama unapost. Hivi humo kichwani kumetimia? Lete maada za msingi humu.