Gumilapua
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 935
- 733
Moja Kati ya mabondia mahili wa uzani wa juu kuwahi kutokea huwezi kumsahau George Foreman.
Jana siku ya ijumaa mwamba ametutoka, ulimwengu wa ngumi na Sisi tuliopata walau bahati ya kupanda ulingoni hakika hatutamsahau huyu mwamba.
Machache Tu kuhusu George ni bondia anaeminika kuwa na ngumi nzito Sana, Kwa Hili Joe Frazier analifahamu baada ya kuvuliwa ubingwa wa dunia ndani ya raundi mbili na kuanguka chini (knockdown) mara 6.
George ndie bondia Mzee kuliko wote wa uzito wa juu kuwahi kutwaa ubingwa wa dunia akiwa na miaka 46 akimvua ubingwa Michael Moore aliekuwa na miaka 26 wakati huo. Moore alikuwa ndio ametoka Tu kumvua ubingwa Evander holyfield.
Zaidi ya hayo George ni bondia pekee kurudi ulingoni baada ya kustaafu Kwa miaka 20 na kufanikiwa kutwaa ubingwa wa dunia.
George alichukua medal ya dhahabu ya olympic akiwa amepigana mapambano 26 Tu tangu angie kwenye masumbwi.
Utakumbukwa daima.
"The Big George Foreman"