Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,790
Yeah ila alimpiga za macho Mike Tyson,Hata hivyo aliwaweka kwenye ramani ya dunia ya masumbwi watu wengi sana... Kiufupi aliwapa maisha😅😅😅 kwahiyo wacha aendelee kuvuta pumzi kwanza
Tyson angekuwa Bilionea akiwa chalii mdogo sana akiwa na Don