Bonde la Jangwani no more?

DOOKY

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
370
50
Kampuni ya Strabag kwa mwendo huu! Unatuhakikishia kuwa hata tungekupa uweke sawa bonde la Jangwani litumike kwa ajili ya makazi kazi hiyo ungeweza.kazi anaifanya kujaza na kulisawazisha bonde hilo na kuonekana hakuna bonde
 
mvua ikinyesha ndo utajua maji yanaenda wapi,,,,unadhan suluhu imepatikana????impakt yake itakua kubwa sana mdau
 
Dar es salaam inavituko vyake.Viwanja huuzwa wakati wa kiangazi.Masika viwanja vingi vinakuwa majaruba ya mpunga.Huyu Strabag akazane kbla masika hazijaja.Utatumia boti kusomba vifusi.Pia ahahakikishe mitaro/mifereji ya nguvu anajenga
 
mvua ikinyesha ndo utajua maji yanaenda wapi,,,,unadhan suluhu imepatikana????impakt yake itakua kubwa sana mdau
Na kuhakikishia kuwa ukibahatika kutembelea vijiwe wa wauza kahawa vyote nchi huwezi kukosa kauli hii ..."Kafara ya kutoa uhai wa watanzania haijatosha... ndio maana mtengo mwingeni umetegwa bode la Jangwani Dar... la kutoa roho za watanzania wakati wa mvua za masika..."
 
Nchi hii siasa imechukua nafasi kubwa kuliko utaalam, sidhani kama kujaza hapo jangwani ni suruhu ya tatizo la kuzuia mafuriko cha muhimu ni kujiuliza maji yalikuwa yanatoka wapi na baada ya kujaza hilo bonde hayo maji yataenda wapi? hapa tutarajie tatizo lingine kubwa sana ambalo litawafikia hata wale ambao hawakustahili kufikiwa na tatizo la mafuriko na baada ya hapo ndo tumtafute mchawi na mwisho wa siku tutasema ni mpango wa MUNGU wakati tumesababisha wenyewe.
 
JF raha sana. Kila mtu ni MTAALAM wa FANI ZOTE. Kila mtu anakosoa kila kitu 'kitaalam'.
 
Hakuna suala la utaalamu hapo. Hata wewe usiye mtaalamu jiulize yale maji yataenda wapi? Kumbuka pale ndipo maji huwa yanajikusanya yanapotokea maeneo mengine.
 
Watanzania kwa porojo na majungu ndio maana mambo yetu tunayaanzisha wenyewe siku zote hayafanikiwi...hivi mnajua Strabag wanafanya nini kwenye huo mradi mnadhani Wajerumani wana akili za nywele kama sisi wanachofanya sasa wanajenga madaraja na njia za kupitisha maji kwenda baharini.

Inashangaza sana mtu anatoka kwake Tandale au Kimara naye anajifanya mtaalam wa uhandisi analeta mawazo yake, hawa Strabag wamefanya project nyingi duniani sio makanjanja angalia kwanza vifaa vyao bado vipya ndio vinaanza project Tanzania.

Engineer wa kijerumani wapo pale wanafanya kazi sio porojo ngoja mradi uishie muone jangwani mpya yenye njia nyingi za kupitisha maji watu wanajenga airport baharini jangwani kitu.
 
huyu jamaa kaambiwa na serikali aafanye juu chini maji yahamie kariakoo, watu wahame, tujenge majengo ya kisasa. Pia tunataka kuona masika ijayo, maji yanajaa club ya Yanga yote
 
Watanzania kwa porojo na majungu ndio maana mambo yetu tunayaanzisha wenyewe siku zote hayafanikiwi...hivi mnajua Strabag wanafanya nini kwenye huo mradi mnadhani Wajerumani wana akili za nywele kama sisi wanachofanya sasa wanajenga madaraja na njia za kupitisha maji kwenda baharini.

Inashangaza sana mtu anatoka kwake Tandale au Kimara naye anajifanya mtaalam wa uhandisi analeta mawazo yake, hawa Strabag wamefanya project nyingi dunia sio makanjanja angalia kwanza vifaa vyao bado vipya ndio vinaanza project Tanzania.

Engineer wa kijerumani wapo pale wanafanya kazi sio porojo ngoja mradi uishie muone jangwani mpya yenye njia nyingi za kupitisha maji.

Kama wanatafuta namna ya kuyaongoza maji yatokayo bonde la Msimbazi na Kigogo ni sawa. Vinginevyo tusubiri maafa ndani ya miaka mitano.
 
Watanzania kwa porojo na majungu ndio maana mambo yetu tunayaanzisha wenyewe siku zote hayafanikiwi...hivi mnajua Strabag wanafanya nini kwenye huo mradi mnadhani Wajerumani wana akili za nywele kama sisi wanachofanya sasa wanajenga madaraja na njia za kupitisha maji kwenda baharini.

Inashangaza sana mtu anatoka kwake Tandale au Kimara naye anajifanya mtaalam wa uhandisi analeta mawazo yake, hawa Strabag wamefanya project nyingi duniani sio makanjanja angalia kwanza vifaa vyao bado vipya ndio vinaanza project Tanzania.

Engineer wa kijerumani wapo pale wanafanya kazi sio porojo ngoja mradi uishie muone jangwani mpya yenye njia nyingi za kupitisha maji watu wanajenga airport baharini jangwani kitu.

we Ritz usitumie akili za makuli, uzungu wa mhandisi haufanyi uhandisi kuwa spesho, eti "wamefanya project nyingi duniani" kama vipi kale kamke kako ukakabidhi kwa ile njemba ya kimasai yenye kijiji cha watoto kutokana na uzoefu wa kutotolesha,
tunawaambia ccm akili zenu "zimegota"
HATAWIKA JOGOO KABLA MAJI YA MVUA KUZIGHARIMU ROHO ZA WATANZANIA WENGI BONDE LA MSIMBAZI.
 
Last edited by a moderator:
Kampuni ya Strabag kwa mwendo huu! Unatuhakikishia kuwa hata tungekupa uweke sawa bonde la Jangwani litumike kwa ajili ya makazi kazi hiyo ungeweza.kazi anaifanya kujaza na kulisawazisha bonde hilo na kuonekana hakuna bonde

Nina wasiwasi sana kuhusu ujenzi huu.Wana mazingira hii imekaaje.Remember hii ni wetland na lazima kutakuwa na athari kimazingira.Na kama kukiwa na mafuriko,maji yatapitia wapi?Au Waarabu wa Pemba.Kama sio please wake up.Bonde la Msimbazi halipashwi kuwa disturbed.Infact lilipashwa kuboreshwa.
 
Back
Top Bottom