Bona Mugabe afunga ndoa

Bona Mugabe afunga ndoa

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,353
Reaction score
26,194
Leo ni siku ya furaha na nderemo nchini Zimbabwe, hasa kwa familia ya Rais Robert Gabriel Mugabe,ambapo Bona Mugabe atafunga ndoa. Bona Mugabe ni mtoto mkubwa na binti pekee wa Rais Mugabe. Anafunga ndoa na Bwana Simba Chikore ambaye ni Rubani.

Ndoa husika itafanyika katika Jumba binafsi la Rais Mugabe lililopo Borrowdale Brooke.

Hongera Rais Mugabe,hongera Bona Mugabe!

Chanzo: DW na vyombo vinginevyo
 
Huyu si ndio iliwahi kuripotiwa kuwa watoto wa kina rostam walimbaka Malaysia?? Kuna uzi uliwahi wekwa humu miaka ya nyuma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom