Mugabe kufukuliwa na kuzikwa upya

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,709
Habari iliyotufikia ni kwamba mwili au tuseme mabaki ya comrade Bob Mugabe rais wa kwanza wa Zim yanfukuliwa ili kuzikwa upya. Je kunani? Una ushauri gani kuhusiana na zengwe hili?
Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA tafadhali.
1631304320184.png

===
A Zimbabwean court on Friday confirmed a traditional chief’s ruling that former President Robert Mugabe’s remains must be exhumed for reburial at a national shrine.

Mugabe’s children had challenged Chief Zvimba’s controversial ruling, arguing he acted outside his jurisdiction when he found former First Lady Grace Mugabe guilty of violating tradition by burying the strongman at his homestead.

Zimbabwe’s founding father died of cancer in 2019 aged 95.

His family claimed his final wish was for President Emmerson Mnangagwa not to preside over his funeral.

The former First Lady was ordered to facilitate the exhumation of the long-serving ruler’s remains for reburial at a national shrine for luminaries of the country’s 1970s liberation war. She was fined five cows and two goats.

Ms Mugabe, who is said to be indisposed and seeking treatment in Singapore, was tried in absentia.

Mugabe finally laid to rest in rural Zimbabwe village

Appeal dismissed
The traditional leader said he was “giving powers to those who are permitted by law to exhume Mugabe’s remains from Kutama and rebury them at the National Heroes Acre in Harare".

But Mugabe’s three children, Bona, Bellarmine Chatunga and Tinotenda Robert, filed an appeal with a local magistrate’s court, arguing that “Chief Zvimba erred at law by making an order that overturns a burial order in respect of the burial of the late Robert Mugabe, when the chief had no judicial authority to interpret legal acts from superior legislation to his jurisdiction”.

The siblings said the chief made a mistake by “making an order that affects property rights of a party that is not part of the proceedings”.

They accused the chief of making a “false finding of fact, which amounts to an error at law when he found that the late Robert Mugabe was buried inside a house.”

The appeal was dismissed by a magistrate in the former ruler’s hometown of Chinhoyi. Following Mugabe’s death in Singapore in 2019, a standoff ensued between the government and his family over his final resting place, stretching for nearly three weeks.
 
Habari iliyotufikia ni kwamba mwili au tuseme mabaki ya comrade Bob Mugabe rais wa kwanza wa Zim yanfukuliwa ili kuzikwa upya. Je kunani? Una ushauri gani kuhusiana na zengwe hili?
Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA tafadhali.
View attachment 1932543
Mugabe alikuwa mtata sana kwenye maisha yake. Watu wa aina yake huwa hawatulii kaburini lazima asumbue hadi afukuliwe. Siyo ajabu kwa yanayotokea
 
Mugabe aliitumia elimu yake kuibomoa nchi yake
Very true kama wengine wengi waliofanya hivyo mfano Kenyatta (kujilimbikizia mali na kupora ardhi) Felix Houphouet Boigny (kujenga kanisa kubwa kuliko yote) na wajinga wengine kama Bokassa, Mobutu na Abacha kati ya wengi. Hata viongozi wengi wa kiafrika ni hali ile ile japo si kwa kiwango cha Mugabe na wenzake.
 
Fukua na mabaki yake tupia ndani ya zambezi river ,mugabe kasababisha 20%ya raia wake kuwa wakimbizi wakati alipewa nchi yenye heshima na adabu na alichokifanya ni kuivuruga tu na hakuna legancy aliyoiacha nyuma,mugabe was a modern african dictator.
 
Very true kama wengine wengi waliofanya hivyo mfano Kenyatta (kujilimbikizia mali na kupora ardhi) Felix Houphouet Boigny (kujenga kanisa kubwa kuliko yote) na wajinga wengine kama Bokassa, Mobutu na Abacha kati ya wengi. Hata viongozi wengi wa kiafrika ni hali ile ile japo si kwa kiwango cha Mugabe na wenzake.
Wote wanafana
 
Mugabe elimu yake imeleta shida badala ya baraka kwa watu wake.
Alikuwa very very bogus
 
Huenda Kaburi la JPM lingekuwa Dodoma ,lingesaidia hofu kwa watendaji wa serikali. Ipo siku Wabunge watadai hili.
 
Back
Top Bottom