Bon voyage my darling

Bon voyage my darling

shansarie

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
5,690
Reaction score
3,370
Ilikuwa ni furaha ya ajabu kuwa na mpenzi , honey wangu ,sabuni ya roho
na meneja wangu mkubwa kiwatengu katika kipindi kigumu cha shindano la umiss chit chat
alikuwa msaada mkubwa sana na nguvu kubwa kwangu kidogo tumpe kisuger Arushaone na Lady doctor.

Sasa amemaliza muda wa mapumziko anarudi kwenye majukumu yake ya kila siku huko ilikogundulika gesi.
Napenda nimtakie safari njema na yenye mafanikio tele.

nb*Bila kumsahau mama mkwe Mamndenyi na shemeji yangu Baba V kushirikiana na kiwatengu
kuunda jeshi la watu watatu asanteni sana kwa kujitoa

TUSHIRIKIANE WOTE KUMTAKIA kiwatengu safari njema
may god be with you love you sana
 
Last edited by a moderator:
Thank you darling..
Nafurahi kusikia kuwa umeridhishwa na huduma niliyokupatia..

Kuhusu shindano! Aisee hongera sana mpenzi wangu, we ni mwanamke imara na jasiri kweli kweli!!

Sijui kina watu8 walitumia technique gani kutuover take at last..(i guess ni the use of multiple ID's)

makamanda wa ukweli Mamndenyi and Baba V! Asanteni sana kwa big support yenu mliotupa..

Nawashukuru pia wadau waliokuwa wakitupa moyo na kutujengea hamasa zaidi!

Kiranga, chama, ZeMarcopolo, masopakyindi, mwallu, na wengine pamoja na wale wa support za kutoka ndani ya mioyo yao.

Naamini team yetu ndiyo ilikuwa team pendwa!!

Mbarikiwe wote!!
Narudi nyumbani sasa...kwetu kusini.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nami nikupongeze shansarie. Hongera sana kwa kushiriki shindano hili.

Ukweli ni kwamba waliokuangusha ni watu wako..Hawajui jinsi ya kupiga kampeni. Haswa kiwatengu.
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu,
Nakupongeza kwa juhudi zako za kupiga kampeni.

Wasalimie sana huko kwa gesi;
Ulizia bei ya vitalu kwa wazawa ili tukufuate huko.
 
Last edited by a moderator:
Thank you darling..
Nafurahi kusikia kuwa umeridhishwa na huduma niliyokupatia..

Kuhusu shindano! Aisee hongera sana mpenzi wangu, we ni mwanamke imara na jasiri kweli kweli!!

Sijui kina watu8 walitumia technique gani kutuover take at last..(i guess ni the use of multiple ID's)

makamanda wa ukweli Mamndenyi and Baba V! Asanteni sana kwa big support yenu mliotupa..

Nawashukuru pia wadau waliokuwa wakitupa moyo na kutujengea hamasa zaidi!

Kiranga, chama, ZeMarcopolo, masopakyindi, mwallu, na wengine pamoja na wale wa support za kutoka ndani ya mioyo yao.

Naamini team yetu ndiyo ilikuwa team pendwa!!

Mbarikiwe wote!!
Narudi nyumbani sasa...kwetu kusini.

unachokifikiria ndicho mlicho kifanya..!

Btw, usafiri salama na Mungu akutangulie katika safari yako.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nami nikupongeze shansarie. Hongera sana kwa kushiriki shindano hili.

Ukweli ni kwamba waliokuangusha ni watu wako..Hawajui jinsi ya kupiga kampeni. Haswa kiwatengu.

Pole sana!! kwa taarifa yako tu..
kampeni hatukuzikeshea kama nyie na bado mkaambulia kagepu kiduchu! mngetuacha walau kwa nafasi 5 na kuendelea ungesema hayo uyasemayo..

Sisi ni wakali zaidi yenu Mzee!!
 
Last edited by a moderator:
Sijui kina watu8 walitumia technique gani kutuover take at last..(i guess ni the use of multiple ID's)

Ha ha ha!!!

Ni marafiki tu ndio walioamua dakika za mwisho...wao ni mashahidi...

Safari njema mkuu ukiwa warudi Somanga, Msimbati na kwingineko huko...

Mungu akutangulie!!!
 
Nashukuru sana mkuu!!
 
Ngoja nami nikupongeze shansarie. Hongera sana kwa kushiriki shindano hili.

Ukweli ni kwamba waliokuangusha ni watu wako..Hawajui jinsi ya kupiga kampeni. Haswa kiwatengu.

hakuna aliyeniangusha ni kiduchu sana mmepita nacho na hatukutumia nguvu nyingi tungefanya mliyoyafanya wallah BP zingewapanda
btn nampongeza hny wangu kiwatengu kafanya kazi nzuri sana
 
Last edited by a moderator:
hakuna aliyeniangusha ni kiduchu sana mmepita nacho na hatukutumia nguvu nyingi tungefanya mliyoyafanya wallah BP zingewapanda
btn nampongeza hny wangu kiwatengu kafanya kazi nzuri sana

baby! afu ujue kweli, tungefanya kwa nguvu zote mh! aisee sisi wakali eti! kumbuka alhamis(send off) na jumamosi(harusi).
Hizo siku sijafanya kampeni kabisa.
Afu kumbuka tena wewe ulikuwa kwenye party j.pili haukufanya kivile!!

We kumbuka tu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom