kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,489
- 18,370
mkubwa nilikuwa kwenye mitihani siwajua tena mambo ya kutafuta division five ya NBAA?
komaa ndugu!! mi nshatia mguu kwangu
mkubwa nilikuwa kwenye mitihani siwajua tena mambo ya kutafuta division five ya NBAA?
Ilikuwa ni furaha ya ajabu kuwa na mpenzi , honey wangu ,sabuni ya roho
na meneja wangu mkubwa kiwatengu katika kipindi kigumu cha shindano la umiss chit chat
alikuwa msaada mkubwa sana na nguvu kubwa kwangu kidogo tumpe kisuger Arushaone na Lady doctor.
Sasa amemaliza muda wa mapumziko anarudi kwenye majukumu yake ya kila siku huko ilikogundulika gesi.
Napenda nimtakie safari njema na yenye mafanikio tele.
nb*Bila kumsahau mama mkwe Mamndenyi na shemeji yangu Baba V kushirikiana na kiwatengu
kuunda jeshi la watu watatu asanteni sana kwa kujitoa
TUSHIRIKIANE WOTE KUMTAKIA kiwatengu safari njema
may god be with you love you sana
Narudia tena, una akili sana wewe binti.
baby! afu ujue kweli, tungefanya kwa nguvu zote mh! aisee sisi wakali eti! kumbuka alhamis(send off) na jumamosi(harusi).
Hizo siku sijafanya kampeni kabisa.
Afu kumbuka tena wewe ulikuwa kwenye party j.pili haukufanya kivile!!
We kumbuka tu
taratibu mkuu! ngoja mambo yakamilike ujongee kwa huku ujichukulie
Ilikuwa ni furaha ya ajabu kuwa na mpenzi , honey wangu ,sabuni ya roho
na meneja wangu mkubwa kiwatengu katika kipindi kigumu cha shindano la umiss chit chat
alikuwa msaada mkubwa sana na nguvu kubwa kwangu kidogo tumpe kisuger Arushaone na Lady doctor.
Sasa amemaliza muda wa mapumziko anarudi kwenye majukumu yake ya kila siku huko ilikogundulika gesi.
Napenda nimtakie safari njema na yenye mafanikio tele.
nb*Bila kumsahau mama mkwe Mamndenyi na shemeji yangu Baba V kushirikiana na kiwatengu
kuunda jeshi la watu watatu asanteni sana kwa kujitoa
TUSHIRIKIANE WOTE KUMTAKIA kiwatengu safari njema
may god be with you love you sana
we acha tu hny
Kila la kheri kiwatengu
hana kifua cha kunisahau hathubutu kabisa
Nimezipokea mpendwa wangu
Mkuu hivi ulifika saa ngapi?
Ki ufupi nimewakubali sana wakuu!
Hongeraaaaa!
Thank you darling..
Nafurahi kusikia kuwa umeridhishwa na huduma niliyokupatia..
Kuhusu shindano! Aisee hongera sana mpenzi wangu, we ni mwanamke imara na jasiri kweli kweli!!
Sijui kina watu8 walitumia technique gani kutuover take at last..(i guess ni the use of multiple ID's)
makamanda wa ukweli Mamndenyi and Baba V! Asanteni sana kwa big support yenu mliotupa..
Nawashukuru pia wadau waliokuwa wakitupa moyo na kutujengea hamasa zaidi!
Kiranga, chama, ZeMarcopolo, masopakyindi, mwallu, na wengine pamoja na wale wa support za kutoka ndani ya mioyo yao.
Naamini team yetu ndiyo ilikuwa team pendwa!!
Mbarikiwe wote!!
Narudi nyumbani sasa...kwetu kusini.