BOMU: Riwaya ya kipelelezi (1)

BOMU: Riwaya ya kipelelezi (1)

Nimetuma muamala chief Kwa kupitia Tigo then whatsup natumia HALOTEl na nimekutaarifu
 
Hivi vitu vya Bure ni shida sana.

Six man, Hebu njoo tuongee Biashara ili niirushe Yote hapa baada ya kuinuunua kwako.
 
Sizitaki mbichi hizi.

Hadithi lenyewe baya, Hapa tulikuwa tunakupumzikia tu six man.
Na wewe ushajiona Keki.
Bora niendelee na mzee wa Kula tunda kimasihara
 
Aisee iko poa balaa hutojutiia kuipata story hii

Naash Nash
 
Nikajua mambo tayari kumbe mnapiga stories tuu
 
Hii riwaya iliishia juu kwa juu haikufika Mwisho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom