Bomu Msasani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bomu Msasani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchaga, Feb 3, 2010.

 1. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  wadau kunataarifa kuwa kuna bomu limepatikana maeneo ya makazi ya watu msasani jijini leo na wanajeshi wamelipeleka lugalo.

  mwenye taarifa zaidi please...
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,834
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  basi mie nikajua wewe ndio mwenye taarifa.. kumbe tuko wote!!!

  haya tusubiri mwenye taarifa
   
 3. Shagiguku

  Shagiguku JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 400
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45

  Ahsante kwa taarifa...!!!

  No comments...!!!
   
 4. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2010
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Msasani kubwa- bonde la mpunga au wapi?
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 41,860
  Likes Received: 24,715
  Trophy Points: 280
  lilikuwa limetegwa au ni yale ya mbagala?
   
 6. E

  ExpertBroker JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2010
  Joined: Jun 1, 2009
  Messages: 454
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Msasani Peninsula ama kwa mwalimu?
   
 7. bht

  bht JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  jamani weee mie umenimaliza kabisaaaaaaaaa maana nimeshindwa kujizuia i had to laugh!!!!

  ama kweli no comments hapa
   
 8. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,458
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Kuna mabomu ya mbagala?
   
 9. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2010
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Msasani wapi?
   
 10. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  TBC 1 wameonyesha na wao katika taarifa ya mchana huu na kusema wananchi waliligundua na taarifa kwa taasisi za usalama ambapo wanajeshi walifika baada ya saa 3 na kulipeleka lugalo kwa uchunguzi zaidi.

  "Baada ya saa 3"

  Habari zaidi ya hapo tusubiri vyombo vyetu vya habari leo jioni labda watakuwa na maelezo zaidi.
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 23,081
  Likes Received: 6,716
  Trophy Points: 280
  Watasema Jerry Muro kalitega
   
Loading...