Micro E coli
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 938
- 192
Kama waalimu wao wanaakili zile za kutupa Cadavar machimbo ya Bunju,wanafunzi watakuwaje?
Acha kujitoa fahamu mkuu, kweli ungemaanisha kuelezea tofauti objectively hu uzi ungekuwa wa nature hii???!!!!
Kwamba tunaokupinga hatujui tofauti zilizopo???!!!
Despising, stigma, conservatism and mockery is what watu hatutaki!!!!
Kama ni differences weka data tujadili objectively nini kinapungua wapi, kwa nini, wanafanyaje kukabili hiyo hali ili tupate way forward sio kejeli na kuwakatisha tamaa!!!!!
Hivi unajua hata MUHAS ilikuwa MUCHS????!!!!
UDOM ni majanga matupu, na ajira wanapeana kwa kujuana na Udini pia
aliyekwambia walimu wote wa m/s watakuwa na shahada ninani? .
Kijana unanambia/kunijuza kuhusu MUCHS??ha ha ha!!!
Bado chuo kingine cha waislamh morogoro sijui hata kama kina prospectus..yaaani ratiba za mitihani zinatangazwa msikitini
Ukweli ni kuwa IMTU ni chuo cha ubabaishaji mwingi mno, hata product zake ninamashaka nazo, na hata walimu makini wamuekua wakikimbia baada ya muda fulani, siongei kwa ushabiki ila, ni ukweli usiopingika kuwa kinahitaji kufungwa kwa muda fulani ili wajirekenishe na waombe kusajiliwa upya!
Unacheka??!!!
Unaita watu vijana unawajua humu??!!!
We sikiliza mkuu humu kumejaa watu wa aina tofauti sana acha bragging zako!!!!!
Hivyo vyuo watu ndio mishe zao kila uchao we mpita njia utasema nini bhana!!!!!
Point yako ikiwa nini???!!!
Vyuo vyote vina graduates wa miaka hiyo kuanzia tutors mpaka madaktari!!!
Udaktari ni kama ufundi bomba,mtoto wa fundi bomba atafundishwa ufundi bomba na baba yake mpaka pale baba yake atakapofariki ndipo mtoto huyu kipindi hiki akiwa kijana ataanza kuifanya vizuri kiasi kazi ya ufundi bomba na hatimaye na yeye atamfundisha mwanawe.
huwezi ukamaliza MD5 halafu uende kufundisha madaktari halafu tutegemee madaktari hao wawe wazuri...never!!ukienda Muhimbili utawakuta mababu,mababa na makaka kwa ujumla wao ndio wanwafundisha madaktari...hii ni sawasawa na uingereza,marekani na maeneo mengine wanaojitambua na sio IMTU au UDOM au Agha khan ya bongo au kwa sasa IFAKARA.
Endelea kubisha ila mtaendelea kuumbuka