Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,297
Kweli IMTU wamechemsha maana hata SUA sijaona viungo vya Ng'ombe au Mbuzi vikiwa vimetupwa kama walivyofanya wao.
hakuna MD5 anaefundisha MEDICINE! usizungumze vitu vya kufikirika, kuna watu nawafahamu wako sehemu husika, we sema Md5 yupi na anafundisha nini?
ha ha ha!! yaani wewe daktari ukijiona kama fundi makenika ndio matokeo ya kutupa viungo kama vyuma chakavu.
Unatakiwa kutembea,kuvaa,kuongea na kutenda kidaktari wakati wote wewe sio mkandarasi wa binadamu bali ni daktari
Mkuu vijana kama hawa sio wa kuwashauri ila ni kuwaacha tu hata humu jukwaani huwa wanajikwaa na kuangukia pua.
Huyu ni mwanafunzi au fresh graduate hivyo bado anaamini sana hisia na historia binafsi na anaona inatosha kabisa kufanya majumuisho!!!!!
Hamna hiyo kitu, unaleta mambo ya patient care na bed making hadi kwenye real life???!!!
Acha mapozi dogo kazi ndio inasema nani ni nani, utavaa tai na kuoiga kiwi na foleni yako inaweza isijae!!!!!
Kujishusha ndio mpango watu wakishona mgonjwa akienda surgical ward manesi wanajua mikato na usafi wa kazi we unajivunia kutembea, kuvaa na kuongea????!!!!
Unawajua maprofesa wangapi Tanzania??!!
Unajua historia zao???!!
Mleta mada unaonekana kuwa na mawazo ya kizamani yaliyokwisha kupitwa na wakati,
Badala ya ku focus kwenye tatizo ambalo halihusiani kabisa na Academics za wanafunzi hawa likiwemo hili la Negligence iliyofanywa na IMTU administration unaishia kuwashambulia wanafunzi wasiokuwa na hatia.
Kwa mawazo yako hayo finyu nimeshapata kujua wewe ni mtu wa aina gani pamoja na dharau zako zilizopitiliza unaonekana kuwa mtu usiyependa kuona mwingine amesoma na kufanikiwa katika hii field ya Afya, sasa sijui ulitaka familia yenu peke yenu iwe na madokta hata sijakuelewa,.
Acha majungu yasiyokuwa na tija, fanya kazi kwa bidii uendeshe maisha yako na familia kama unayo.
sio mara ya kwanza kutuona tuna dharau au conservative mara tunapoongelea maswala ya elimu kinagaubaga
Hao wa UDSM wanatusaidia nini? kuna wachumi kibao akiwemo na mkuu wa nchiTunaposema huu upuuzi wa vyuo vya kata hautakiwi watu wanasema tuna dharau bora jamii inajionea yenyewe.
Ati mtu alifeli kidato cha nne leo hii anapewa cheti cha kuwa daktari...ukiuliza nini eti ooh tunapunguza uhaba wa madaktari...pambaff sana.
MY TAKE
- SERIKALI INATAFUTA KURA
- G.ABACHORI ANASAKA NOTI
- MLALAHOI ANASAKA AJIRA YA URAHISI
Unaona mambo haya!!!:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa:nimekataa
siku hizi mnatibu na vi- Ipad
pole sana mkuu kama ulisoma hapo IMTU,lakini hii haiondoi ukeli wa kwamba IMTU ni chuo cha kata.
Na mimi nitakwambia kuna medical attendant ana uwezo mkubwa sana wa kufanya ORIF lakini hiyo haijatosha kumuita daktari...huu msemo wa kwamba huku kwenye field tuko vizuri ni nonosense.kama wewe ni mkweli utaweza kugundua hata yale mabaki yanaonyesha cadaver wale hawakupasuliwa kwa kiwango cha kitaalamu!!
Unategemea kama uongozi na walimu 'haziko sawa' utapata wanafunzi 'ziko sawa'
Maprofesa wengi na bora walisoma enzi za mkoloni a.k.a std 4 enzi ambazo hata udsm haikuwepo zaid ya makerere hawa wa 1961 siasa tu na ufisadi umewajaa..
Profesa mzima aliyeelimika anaacha elimu ife akimbilie siasa ili atajirike? Uzalendo ukowapi.. Dr mzima unaongoza wizara ya elimu na mfumo mbovu wa elimu umwukumbatia kila siku kubadilisha majina mara BRN.. nini nini sijui
Any way hao wengi ndio hao hao tunaowasema failures tu profesa sijui dk kizaz hiki? Mtu ana phd bado analalama ajira shida.. ndo tumuite msomi huyo dah.
Atakuwa Clinical Assistant huyu.
Kijana acha papara,soma uelewe point,Nimemaanisha Udom wanaajiri watu ambao sio competent kuwa waalimu.Mtu hawezi tu kutoka na first degree alafu ukamkabidhi course outline tayari kawa mwalimu afundishe wangine.Wanavyofanya wengine ni kwamba anakua tutorial assistant,then anafanya masters,baada ya hapo anakua assistant lecturer,then PHD to full lecture.Unapokuwa umeeandika paper nyingi kwenye taaluma yako hata maarifa yanaongezeka kijana wangu.Huwezi kuwa unaongelea lecturer!!!!!Na kwa premise yako unamaanisha lecturers wa hapo wote wamehitimu hapo na waliowafundisha walihitimu hapo??!!!!Lecturers wengi pale walitoka UDSM, SUA na MZUMBE na sasa ndio wameanza kutoa Lecturers wao ambao pia wengi First degrees na Masters zao hawakusoma pale au mtu akifika pale tu maarifa yanamuisha???!!!
una haki ya kupinga