nkasoukumu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 898
- 420
katika kipindi cha uhai wangu hapa tanzania hajawahi tokea askofu jasiri kama gwajima sio mnafiki analinda maslah ya umma sio ya kanisa lake tu
Kweli aise wamechoka kweli ccm .wanalazimisha Maji kupanda mlima sio kitu rais kabisa
Maji kupanda mlima kawaida tu.
Labda kijijini kwenu hakuna pampu.
Kwahio pampu ya ccm ni vyombo vya dola kua piga tafu. Aibu tupu?
CCM are dying horse which kicks most prior to death. mwaka huu magamba lazima watafute vichaka vya kujificha.
Gwajima ametumiwaje?Dr.Slaa alisemaje kuhusu Gwajima?Gwajima kaja kujibu yake ya kuitwa Mshenga?acha kuwa biasKwa mtizamo wangu, sizani kama ni jambo la maana kuendeleakuwatumia viongozi wetu wa dini kwenye mambo ya Siasa, Kufanya hivi ni kujaribu kuweka jambo lasiasa kweny mambo ya dini.
Kumbuka Siasa ni jambo la mda tu tena ni jambola mpito lakini imani zetu za dini hudumu kizazi hadi kizazi.
Kufanya hivyo kunaweza kuleta utofauti kati yaGwajima na wafuasi wake hasa wale wanachama wa chama cha mapinduzi na wafuasiwa magufuli kwa kipindi hiki. Vingozi wetu wa dini tunaomba wajikite kwenyemalengo yao hapa duniani.
Tufanye siasa za siasa na tuachane na siasa zadini. Mungu ibariki Tanzania. Mungu tupe kiongozi bora hapo october 2015!Tudumushe udugu wetu.
UKAWA wanashabikia udaku wa Gwajima du!!