Bomu la askofu Gwajima laisambaratisha CCM

Bomu la askofu Gwajima laisambaratisha CCM

Mwandishi na wafuasi wake wote mnahitaji uponyaji wa fikra na fahamu ili muweze kujariwa utambuzi wa alama za nyakati kuwa EL hawezi na hatokuwa raisi wa nchi hii ya Tanzania. Watanzania wengi hasa wapiga kura halisi bado wana imani na chama chao. Huu ni mwaka wa masikitiko makubwa kwa jamii ya vijana waliokubari kudanganywa na wanasiasi wapiga dili.
 
Mwandishi na wafuasi wake wote mnahitaji uponyaji wa fikra na fahamu ili muweze kujariwa utambuzi wa alama za nyakati kuwa EL hawezi na hatokuwa raisi wa nchi hii ya Tanzania. Watanzania wengi hasa wapiga kura halisi bado wana imani na chama chao. Huu ni mwaka wa masikitiko makubwa kwa jamii ya vijana waliokubari kudanganywa na wanasiasi wapiga dili.


Asante kwa ushauri

ngoja kwanza tumalize maombi ya baba askofu kukemea mapepo ya ccm- mafisadi wauaji wa tembo na albino
 
Kwa mtizamo wangu, sizani kama ni jambo la maana kuendeleakuwatumia viongozi wetu wa dini kwenye mambo ya Siasa, Kufanya hivi ni kujaribu kuweka jambo lasiasa kweny mambo ya dini.
Kumbuka Siasa ni jambo la mda tu tena ni jambola mpito lakini imani zetu za dini hudumu kizazi hadi kizazi.
Kufanya hivyo kunaweza kuleta utofauti kati yaGwajima na wafuasi wake hasa wale wanachama wa chama cha mapinduzi na wafuasiwa magufuli kwa kipindi hiki. Vingozi wetu wa dini tunaomba wajikite kwenyemalengo yao hapa duniani.
Tufanye siasa za siasa na tuachane na siasa zadini. Mungu ibariki Tanzania. Mungu tupe kiongozi bora hapo october 2015!Tudumushe udugu wetu.

Kwani wao wanaongozwa na siasa za mbinguni hapa duniani? Ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari mpe Kaisari.Unataka wasokomezwe vijiti machoni wanyamaze kwani wao wana mioyo ya chuma?
 
Gwajima ndo nani au ndo yule mropokaji hovyo tofauti na status yake ???anawatia aibu maaskofu wenzie.
 
hahahaha huuu ugomvi ni btw CHADEMA, SLAA, GWAJIMA, NA LOWASSA ... SASA SIJUI CCM WANAHUSIKA VIPI..? SIJASIKIA KIONGOZI WA CCM AKITIA NENO LOLOTE.....

CCMMMMMM MBELE KWA MBELEEEEEEEEEE
 
Mmh sijui umesoma vizuri dini yako kiukweli kabisa "HAKUNA DINI BILA SIASA" ingawa mimi sifungamani kokote. Kama hilo hulijui anza kulifanyia research leo itakusaidia. Unafikiri Nabii Suleiman asingekuwa mwanasiasa angeongoza nchi yake? Daud je? Usiogope unachotakiwa kufahamu siasa haiwez kuimeza dini. Bali dini inameza siasa.
 
Mi nalia na Mod, kwani Thread yangu yenye kichwa cha habari "Gwajima apoteza muelekeo, ilikuwa moved. Sasa kwanini huimove hii Thread?

Huu ni upendeleo wazii. JF IMEKSHAKUFA. Ni kazi kweli kweliii.
 
Haya endeleeni kumjadili mi nadhani laana ya pengo inamtafuna huyu c bure
 
Back
Top Bottom