Hapa mkuu tupo pamoja, na ndicho nilichokuwa namaanisha. Mkataba upo lakini hauna effect kama zilivyo nukes zenyewe. Hawawezi kupigana kwa kutumia nukes sio kwasababu ya mkataba ila ni kwasababu wanajua athari zake, na ndiyo maana Marekani atafanya kila awezavyo Nukes asizipate Mwarabu maana wote tunafahamu akili zake.