Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
KIJANA AMBROSE KATIKISA MPAKA UMOJA WA MATAIFA!! DAH MAKUBWA?
WAWEZA KUTA WAZAZI WAKE NA HATA YEYE WOTE WALIKUWA WAKISALIA KT KANISA ILO, DAH PASUA KICHWA SANA UYU DOGo
Kwa hii serikali yetu tusitegemee jibu la mana. Kama watuhumiwa wanaachiwa huku serikali haijui mhusika wewe unategemea nini cha zaidi? Nchi hii tuna wasomi lakini wakisha pewa ulaji wanapoteza maana.
Mwakilishi wa Vatikan UN amechemsha! kwanza bomu la Arusha halina uhusiano na Ugaidi kwasababu waliokamatwa mpaka sasa hivi ni Vijana wa Kikristo na hata Kardinali Pengo kathibitisha hilo! pili huyu Mwakilishi wa Vatikan UN ni Mhindi, na huko kwao India milipuko ya mabomu na ulipuaji wa Majumba ya ibada nikitu cha Kawaida! hasa tukio kubwa la kulipua na kuchoma Msikiti mkubwa wa kihistoria huko Ayodha India mwaka 1992 na kuuliwa mamia ya Waislamu na Baniani lakini Muhindi huyu haoni huko kwao bali macho yake yako Arusha na Afrika!
Huu ni ubaguzi wa rangi unaoonyeshiwa na Mwakilishi huyu wa Papa UN! Milipuko ya mabomu India na Asia hayajafikishwa UN kwanini iwe ni Afrika tu? unaweza kulinganisha mabomu yanayolipuka Afrika na yale ya Asia?

Penye red,
Gaidi anaweza kuwa mkristo, muislam hata mpagani. Ugaidi hauna ubaguzi wa rangi, gaidi anaweza kuwa mzungu, mmatumbwi, muarabu hata mjapani.
Kwa msaada tu definition ya terrorism: Systematic use of violence to create a general climate of fear in a population and thereby to bring about a particular political objective.
Angalia kwa makini hii definition, haitaji mmakonde, mweusi, mzungu, mwaarabu, mkristo, muislam wala mpagani.
Kamanda, unapo jadili haya mambo jitahidi kuwa sensitive na udini na race. Wewe mwenyewe unaweza kuwa mbaguzi wa rangi (Penye blue) kama ulivyo sema.
Balozi kachemsha vipi wakati Rais Kikwete, waziri wa mambo ya ndani tz, waziri wa mambo ya nje tz, Rc Arusha, wanasema ni tukio la kigaidi? au una tatizo binafsi ya balozi?Mwakilishi wa Vatikan UN
amechemsha! kwanza bomu la Arusha halina uhusiano na Ugaidi kwasababu
waliokamatwa mpaka sasa hivi ni Vijana wa Kikristo na hata Kardinali
Pengo kathibitisha hilo! pili huyu Mwakilishi wa Vatikan UN ni Mhindi,
na huko kwao India milipuko ya mabomu na ulipuaji wa Majumba ya ibada
nikitu cha Kawaida! hasa tukio kubwa la kulipua na kuchoma Msikiti
mkubwa wa kihistoria huko Ayodha India mwaka 1992 na kuuliwa mamia ya
Waislamu na Baniani lakini Muhindi huyu haoni huko kwao bali macho yake
yako Arusha na Afrika!
Huu ni ubaguzi wa rangi unaoonyeshiwa na Mwakilishi huyu wa Papa UN!
Milipuko ya mabomu India na Asia hayajafikishwa UN kwanini iwe ni Afrika
tu? unaweza kulinganisha mabomu yanayolipuka Afrika na yale ya
Asia?
Pumbafu kabisa...kaa kimya kama huna kitu cha kuongea...
Mwakilishi wa Vatikan UN amechemsha! kwanza bomu la Arusha halina uhusiano na Ugaidi kwasababu waliokamatwa mpaka sasa hivi ni Vijana wa Kikristo na ....!
Huu ni ubaguzi wa rangi unaoonyeshiwa na Mwakilishi huyu wa Papa UN! Milipuko ya mabomu India na Asia hayajafikishwa UN kwanini iwe ni Afrika tu? unaweza kulinganisha mabomu yanayolipuka Afrika na yale ya Asia?
Kwa hiyo unataka kusema kuwa bomu la Arusha ni Ugaidi? na ni ugaidi wa ndani au ugaidi wa Kimataifa? vipi kuhusu Vatikan kutaja Afrika tu na sio Asia? huo ndio ubaguzi naouzungumzia! lakini kumbuka Tanzania tuna sheria ya Ugaidi na sheria hii inawahusu Waislamu tu! ndio maana Wanasheria wa Lwakatare waliishangaa Serikali kumshitaki kwa ugaidi na baadae Mahakama kumfutia kosa la ugaidi!
Mwakilishi wa Vatikan UN amechemsha! kwanza bomu la Arusha halina uhusiano na Ugaidi kwasababu waliokamatwa mpaka sasa hivi ni Vijana wa Kikristo na hata Kardinali Pengo kathibitisha hilo! pili huyu Mwakilishi wa Vatikan UN ni Mhindi, na huko kwao India milipuko ya mabomu na ulipuaji wa Majumba ya ibada nikitu cha Kawaida! hasa tukio kubwa la kulipua na kuchoma Msikiti mkubwa wa kihistoria huko Ayodha India mwaka 1992 na kuuliwa mamia ya Waislamu na Baniani lakini Muhindi huyu haoni huko kwao bali macho yake yako Arusha na Afrika!
Huu ni ubaguzi wa rangi unaoonyeshiwa na Mwakilishi huyu wa Papa UN! Milipuko ya mabomu India na Asia hayajafikishwa UN kwanini iwe ni Afrika tu? unaweza kulinganisha mabomu yanayolipuka Afrika na yale ya Asia?
Aisee wengine mkoje!? Kipi kibaya alichosema balozi huyo? Hapo penye nyekundu inaonyesha una kichwa kidogo mno! Hivi wewe unataka kutuaminisha kuwa ugaidi unatendwa na wale wasio wakristo tu? Shame on UUU!!!!!!!dude!Mwakilishi wa Vatikan UN amechemsha! kwanza bomu la Arusha halina uhusiano na Ugaidi kwasababu waliokamatwa mpaka sasa hivi ni Vijana wa Kikristo na hata Kardinali Pengo kathibitisha hilo! pili huyu Mwakilishi wa Vatikan UN ni Mhindi, na huko kwao India milipuko ya mabomu na ulipuaji wa Majumba ya ibada nikitu cha Kawaida! hasa tukio kubwa la kulipua na kuchoma Msikiti mkubwa wa kihistoria huko Ayodha India mwaka 1992 na kuuliwa mamia ya Waislamu na Baniani lakini Muhindi huyu haoni huko kwao bali macho yake yako Arusha na Afrika!
Huu ni ubaguzi wa rangi unaoonyeshiwa na Mwakilishi huyu wa Papa UN! Milipuko ya mabomu India na Asia hayajafikishwa UN kwanini iwe ni Afrika tu? unaweza kulinganisha mabomu yanayolipuka Afrika na yale ya Asia?
Kwanini wamewaachia wale Waarab wa Saudi Arabia lakini Wanaendelea kuwashikilia Watanzania Wakristu.Chuki ya Serikali hii ya CCM kwa Wakristu inanistaajabisha.