huna hata ofa unawekeza hivyo, lazima akili zako ziwe na shida kidogoDuh....pole kwa hiyo familia.....hivi jamani mtu unaweza kuwekeza kiasi kikubwa hivyo ktk maeneo siyo lasmi?.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria ni msumemo pale ambapo hazijawagusa wakubwa tuSheria ni msumeno...kama mnaona sheria mlizozitunga hazifai zirejesheni bungeni basi.
Huko hata mkitaka nyumba zijengwe katikati ya barabara ni juu yenu.
Kwa sasa acha sheria iliyopo ifuate mkondo.
Hayo yasikie tu kwa mwenzio. Siku yakikukuta ndio utajua uchungu wanaoupata.Sheria ni msumeno...kama mnaona sheria mlizozitunga hazifai zirejesheni bungeni basi.
Huko hata mkitaka nyumba zijengwe katikati ya barabara ni juu yenu.
Kwa sasa acha sheria iliyopo ifuate mkondo.
Tumia akili kidogo tu na usome maelezo ya huyo mama vizuri! Wakati wanajenga Sheria iliyokuwepo iliwataka kujenga mita 60 baada ya Barabara! Kuna Sheria nyingine iliyokuja mpya inayotaka watu wajenge mita 120 baada ya Barabara! Hii mpya imekuta watu wameshajenga, hivyo kuitekeleza kunahitaji Serikali kutoa fidia kuwahamisha hao watu ndani ya hizi mita,kwa sababu sii kosa lao,ni Kosa la short sighted people from the govt waliokuwa na maono mafupi kwa kutunga Sheria ya mita 60! Naamini nitakuwa nimekusaidia!Kuwezekeza kwenye hifadhi ya barabara kwa kutegemea huruma ya serikali ni sawa na kuhifadhi maji kwenye gunia.
Swala linabaki palepale, kujenga kwenye hifadhi ya barabara ni sawa kuteka maji kwa kutumia gunia. Kwa sababu kama unajua sheria zinabadilika mara kwa mara kutokana na mahitaji yaliyopo kwa nini usiwekeze sehemu unayojua haiwezi kuathirika na hizo sheria hata zikibadilika? Unajenga kwenye highway eti unaishia kwenye 60 zilizowekwa na sheria si upuuzi huo. Kwa nini na wewe usiongeze mita zako chache ili kujihakikishia usalama zaidi?Tumia akili kidogo tu na usome maelezo ya huyo mama vizuri! Wakati wanajenga Sheria iliyokuwepo iliwataka kujenga mita 60 baada ya Barabara! Kuna Sheria nyingine iliyokuja mpya inayotaka watu wajenge mita 120 baada ya Barabara! Hii mpya imekuta watu wameshajenga, hivyo kuitekeleza kunahitaji Serikali kutoa fidia kuwahamisha hao watu ndani ya hizi mita,kwa sababu sii kosa lao,ni Kosa la short sighted people from the govt waliokuwa na maono mafupi kwa kutunga Sheria ya mita 60! Naamini nitakuwa nimekusaidia!
Sent using Jamii Forums mobile app
We una hata kibanda cha tembe kweli?Sheria ni msumeno...kama mnaona sheria mlizozitunga hazifai zirejesheni bungeni basi.
Huko hata mkitaka nyumba zijengwe katikati ya barabara ni juu yenu.
Kwa sasa acha sheria iliyopo ifuate mkondo.
Tuma kwa njia ya browserkuna vidio najaribu kuituma apa inafika asilimia tisin inagoma nini tatzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani nimekusaidia kumbe husaidiki! Najua unalenga kuyahalalisha haya ya Ubomoaji! Ni mtu mpuuzi tu anaeweza kuja na argument kama hii! Kinachofanya jambo Fulani kuwa Kosa ni Sheria ya kipindi hicho, sio Speculations! Serikali ndiyo iliyopewa jukumu na walioiweka madarakani kufikiri na kutenda kwa niaba yao, not otherwise!Swala linabaki palepale, kujenga kwenye hifadhi ya barabara ni sawa kuteka maji kwa kutumia gunia. Kwa sababu kama unajua sheria zinabadilika mara kwa mara kutokana na mahitaji yaliyopo kwa nini usiwekeze sehemu unayojua haiwezi kuathirika na hizo sheria hata zikibadilika? Unajenga kwenye highway eti unaishia kwenye 60 zilizowekwa na sheria si upuuzi huo. Kwa nini na wewe usiongeze mita zako chache ili kujihakikishia usalama zaidi?