FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Walipojenga bila vibali walitegemea wataishi hapo maisha yao na vijukuu?
Ikumbukwe kuwa hata kama wana vibali kuna wakati ukifika lazima maendeleo yapishwe.
Hapo hapo wanapoondolewa mabondeni kuna teknolojia za kujenga na maji yakapita na nyumba zisiathirike, jee hao waliojenga wanamudu gharama za taknolojia hiyo?
Watanzania tujifunze kuona mambo kwa uhalisia wake na si kwa hisia.
Kula uliwe.