Bomoabomoa: Leo hakuna usingizi, kesho ni vilio

Zoezi litakwama kwa muda-kama wafungua madai watakuwa na Mwanasheria sahihi. Kuwa Kufinyangwa kwa haki za Watoto kwa kosa za wazazi wao hakuhalishi wao wapate adhabu ya kukaa nje,kukosa mlo, na kukosa shule kipindi hiki -kwa hiyo serikali inatakiwa kujipanga kabla ya uamuzi iliyoufanya pamoja na uhalali wa kuwaonda.
 
Hakika usiku wa leo utakuwa mfupi sana.
images
images
images
images
images
images
images
 
Ni kama mtu aliyehukumiwa kunyongwa kwa kosa ambalo hakutenda anavyo lala usiku wa kuamkia utekelezwaji wa hukumu.
Poleni sana wahanga, tuko nanyi kiroho hata kama mlijenga sehemu isiyofaa tunajua ni kwa vile hizo sehemu rasmi mlishindwa kuzipata kutokana na urasimu wakati hela yenyewe ya kuunga unga.
 
kuna kauli kikwete nakumbuka alihisema pale jangwani kipindi kile cha kampeni kwamba mie mpore lakini huyu namjua mie na akampa jina hapo hapo la tingatinga kwa ujinga mkacheka na kufurahi kumbe mwezenu alikuwa na mahana nyingine
 
Tarehe 5/1/2016 imepiga hodi. Imefika. Bomoabomoa kurudi tena kuanzia kesho. Usiku wa leo, wakaazi wenye nyumba zenye alama ya 'X' hawatalala usingizi. Utakuwa usiku mfupi na usio na ladha ya pipi. Usiku wa kusubiri kubomolewa makazi.

Leo, usiku utakuwa wa kujiulizauliza na kujiandaa kujiliza hapo kesho na kuendelea. Usiku wa kukumbukwa. Usiku wa kuwaza kilichotokea hadi kitakachotokea kuanzia kesho. Usiku wa leo, watailaumu na kuilaani Serikali na watendaji wake wote bila mafanikio.

Utakuwa usiku wa kujiapiza na kupania kutochagua tena hawa mwaka 2020. Lakini, usiku utasahaulisha kuwa watanzania ni wepesi wa kusamehe na kusahau. Waungwana. Kesi kujaribu kusimamisha ubomoaji huo inaunguruma muda huu Mahakama Kuu Kitengo cha Kazi. Jaji Kente amebaki mwokozi pekee.

Usiku mfupi na wa kuweka kwenye diary!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Ni kweli ni majonzi makubwa kwa watanzania wenzetu. Huruma imekosekana. Mungu ampe hekima jaji Kente.
 
Tarehe 5/1/2016 imepiga hodi. Imefika. Bomoabomoa kurudi tena kuanzia kesho. Usiku wa leo, wakaazi wenye nyumba zenye alama ya 'X' hawatalala usingizi. Utakuwa usiku mfupi na usio na ladha ya pipi. Usiku wa kusubiri kubomolewa makazi.

Leo, usiku utakuwa wa kujiulizauliza na kujiandaa kujiliza hapo kesho na kuendelea. Usiku wa kukumbukwa. Usiku wa kuwaza kilichotokea hadi kitakachotokea kuanzia kesho. Usiku wa leo, watailaumu na kuilaani Serikali na watendaji wake wote bila mafanikio.

Utakuwa usiku wa kujiapiza na kupania kutochagua tena hawa mwaka 2020. Lakini, usiku utasahaulisha kuwa watanzania ni wepesi wa kusamehe na kusahau. Waungwana. Kesi kujaribu kusimamisha ubomoaji huo inaunguruma muda huu Mahakama Kuu Kitengo cha Kazi. Jaji Kente amebaki mwokozi pekee.

Usiku mfupi na wa kuweka kwenye diary!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Kibera ni pasua bongo kwa serikali ya Kenya lakini hawajachukua maamuzi ya kubomolea wananchi. Sio kwamba hawatawaondoa. Watawaondoa bila kuwapa maumivu makubwa.
 
Tarehe 5/1/2016 imepiga hodi. Imefika. Bomoabomoa kurudi tena kuanzia kesho. Usiku wa leo, wakaazi wenye nyumba zenye alama ya 'X' hawatalala usingizi. Utakuwa usiku mfupi na usio na ladha ya pipi. Usiku wa kusubiri kubomolewa makazi.

Leo, usiku utakuwa wa kujiulizauliza na kujiandaa kujiliza hapo kesho na kuendelea. Usiku wa kukumbukwa. Usiku wa kuwaza kilichotokea hadi kitakachotokea kuanzia kesho. Usiku wa leo, watailaumu na kuilaani Serikali na watendaji wake wote bila mafanikio.

Utakuwa usiku wa kujiapiza na kupania kutochagua tena hawa mwaka 2020. Lakini, usiku utasahaulisha kuwa watanzania ni wepesi wa kusamehe na kusahau. Waungwana. Kesi kujaribu kusimamisha ubomoaji huo inaunguruma muda huu Mahakama Kuu Kitengo cha Kazi. Jaji Kente amebaki mwokozi pekee.

Usiku mfupi na wa kuweka kwenye diary!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mkuu KESI MAHAKAMANI HIYO INJUCTION IMEKUBALIWA AU IMEKATALIWA
 
Hapa ni Paraguay leo hii wananchi wamegoma kuondoka mabondeni ingawa wamepewa taarifa na serikali lakini wamekaidi mpaka sasa
 
Attachments

  • 1451910165026.jpg
    1451910165026.jpg
    33.6 KB · Views: 41
mbona umeandika kama vina vyako kwa mpangilio kama unafurahia yanayoendelea,ifike wakati tuache kushabikia vitu ambavyo havina msingi,je unapoangalia kwenye tv yako ya nch 5 unaona watu wanalia kinachokufurahisha pale ni kipi?
Tarehe 5/1/2016 imepiga hodi. Imefika. Bomoabomoa kurudi tena kuanzia kesho. Usiku wa leo, wakaazi wenye nyumba zenye alama ya 'X' hawatalala usingizi. Utakuwa usiku mfupi na usio na ladha ya pipi. Usiku wa kusubiri kubomolewa makazi.

Leo, usiku utakuwa wa kujiulizauliza na kujiandaa kujiliza hapo kesho na kuendelea. Usiku wa kukumbukwa. Usiku wa kuwaza kilichotokea hadi kitakachotokea kuanzia kesho. Usiku wa leo, watailaumu na kuilaani Serikali na watendaji wake wote bila mafanikio.

Utakuwa usiku wa kujiapiza na kupania kutochagua tena hawa mwaka 2020. Lakini, usiku utasahaulisha kuwa watanzania ni wepesi wa kusamehe na kusahau. Waungwana. Kesi kujaribu kusimamisha ubomoaji huo inaunguruma muda huu Mahakama Kuu Kitengo cha Kazi. Jaji Kente amebaki mwokozi pekee.

Usiku mfupi na wa kuweka kwenye diary!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Sikio la Kufa.........; kwenye zoezi hili naiomba sana serikali isirudi nyuma
usipende kushabikia vitu kama ivi ndugu yangu hasa kwa mlengo wa kisiasa wanaoathirika ni watanzania maskini waliojibana kupata pesa ya kujenga ivo vibanda serikali kwa sasa wangekua bize ku deal na wanaojenga holela kuliko ku deal na waliokwishaweka pesa zao wengine tena ni za mikopo!!! pekee wanaotakiwa kuvunjiwa ni wale wa mabonden na wanatakiwa wapewe mda kidogo kuhamia kwingine
 
Mahakama imekataa
Tarehe 5/1/2016 imepiga hodi. Imefika. Bomoabomoa kurudi tena kuanzia kesho. Usiku wa leo, wakaazi wenye nyumba zenye alama ya 'X' hawatalala usingizi. Utakuwa usiku mfupi na usio na ladha ya pipi. Usiku wa kusubiri kubomolewa makazi.

Leo, usiku utakuwa wa kujiulizauliza na kujiandaa kujiliza hapo kesho na kuendelea. Usiku wa kukumbukwa. Usiku wa kuwaza kilichotokea hadi kitakachotokea kuanzia kesho. Usiku wa leo, watailaumu na kuilaani Serikali na watendaji wake wote bila mafanikio.

Utakuwa usiku wa kujiapiza na kupania kutochagua tena hawa mwaka 2020. Lakini, usiku utasahaulisha kuwa watanzania ni wepesi wa kusamehe na kusahau. Waungwana. Kesi kujaribu kusimamisha ubomoaji huo inaunguruma muda huu Mahakama Kuu Kitengo cha Kazi. Jaji Kente amebaki mwokozi pekee.

Usiku mfupi na wa kuweka kwenye diary!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mahakama imekataa kuwa kichaka cha watenda maovu kisha kutoa simamisho la mahakama
 
Wezi na wabadhilifu wanapewa muda wa kutosha kurudisha waliyoiba but sisi tunapewa siku mbili@#@#@#@#@#@#@#@#@#@#@#@#@#@#@##@#@@@@@@@@$$%&&-+))+%$#%&-+()&$**;!?;"*¢€=^¢¢®°™©¢"'-:*\^¥¢¢^=÷Π`~•÷×∆∆¶√||``√÷×Π•|||•√√|•|√√÷÷××∆∆×÷Π√|©^¥€£®℅,][℅®©®¥€¢¢©\<>>\€¥°^><©®™©\#%#%-+;;+
Hata mgepewa miaka 7 bado mngelalamika tuu. Kulalamika kumekuwa ni mila yetu ndiyo maana JPM kazema ' Hapa kazi tu'
 
Serikali isiyojali wananchi wake ni hatari sn, kumbomolea mtu bila kumwandalia pakwenda ni zaid ya ugaidi
 
Alihisema = aliisema
Mpore = mpole
Mwezenu = mwenzenu
Mahana = maana

kuna kauli kikwete nakumbuka alihisema pale jangwani kipindi kile cha kampeni kwamba mie mpore lakini huyu namjua mie na akampa jina hapo hapo la tingatinga kwa ujinga mkacheka na kufurahi kumbe mwezenu alikuwa na mahana nyingine

Anyway......

Kubomolewa kusikie kwa mwenzako tu.......... pamoja na madhara ya mabondeni na umuhimu wa hiyo bomoa bomoa (kwa baadhi ya maeneo) inasikitisha sana........
Kujenga kwenyewe kwa kudunduliza huku....
 
Tupangie mji jpm baada ya miaka kadhaa itaonekana kazi yako

Lialia hiyo mtakumbuka baadae huku mkitabasamu patakavyokua panapendeza
 
Back
Top Bottom