Bomoabomoa imenikuta

Inawezekana uko umbali wa mita 60 kutoka kwenye mto lakini ni bondeni mafuriko yanafika. pole sana mkuu
Ni mbali na mto na mafuruko hayajawahi kufika hata mara moja tangu tuhamie mwaka 1995
 
Au kiwanda? Maana wanasema itakuwa nchi ya viwanda. Poleni sana
Tatizo watu wanawaza wataenda wapi, wangetufidia hata kidogo tungeondoka bila malalamiko waanzishe hivyo viwanda vyao
 
Tatizo watu wanawaza wataenda wapi, wangetufidia hata kidogo tungeondoka bila malalamiko waanzishe hivyo viwanda vyao
Ni mfumo ulikuwa mbaya mliachiwa na kujenga sasa hali ni tofauti hakuna jinsi ni kumshukuru Mungu kwa kila kitu. Na haya yatapita vuteni subra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…