C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,753
wakati yanabomolewa ilitolewa hadi kwenye Tv njia ya iringa ukiipita utaiona hayo makaburi na jinsi umeme ulivyo chepukaDah, kuna watu mafundi aisee
wakati yanabomolewa ilitolewa hadi kwenye Tv njia ya iringa ukiipita utaiona hayo makaburi na jinsi umeme ulivyo chepukaDah, kuna watu mafundi aisee
Bado nakuuliza tena Umesoma ukaelewa nilichoandika???Wewe unaeamini ushirikina ndio una upuuzi mwingi sana sijui ni div 6 wewe? Mijitu mingine inawaza kwa kutumia miguu..hivi ingalikua ushirikina unasaidia nchi hii ingekua mbali sana
eti jini selander, kuna vibaka kibao wako mle vichakani usiku kucha au wana urafiki na hilo jini? selander watu hawapiti usiku kwa sababu ya wakabaji hamna cha majini wala nini. kama yapo yangeanza na wale vibaka!Mkuu mlango wa kuelekea wapi!
sijaona mahali umesema umekutana na hayo majini....ushawahi kukutana nayo? kila mtu humu anasema kasikia, aliekutana nayo atupe ushuhuda.....au waroge lile tingatinga lisiweze kuvunja zile nyumba.
Watu walichukizwa na hii bomoabomoa wamefanya yao! Hizi ndio habari motomoto mitaani uswazi na kwenye radio mbao! Kwamba eti msimamizi mkuu wa hii operation alipigwa kipapai akaanguka na kuzirai ofisini kwake lakini hakufa! Na hata alipopelekwa hospital hakuonekana na tatizo lolote! Lakini likaja na hili pia kwamba yule Dereva wa kile kijiko (greda/tingatinga) la ubomoaji yuko hoi hospitali... Huku uswazi ni full shangwe watu wanafanya sherehe eti wamewaweza..! Hili laweza kuwa kweli lakini tusibebwe na mass hallucination kwa sababu zifuatazo
Kwanza kuanguka kwa yule msimamizi hakuna mahusiano ya moja kwa moja na ushirikina, na hata huyo dereva pia... Maelezo yanayoweza kuwa sahihi zaidi ni uchovu na tension ya zoezi zima na kule kuhukumiwa na roho kwa kile wanachofanya huku wakishuhudia kina mama watu wazima watoto wasiojiweza wagonjwa na wazee wakitoa machozi ya uchungu kwa kubomolewa nyumba zao. Inahitaji roho ngumu mno kuweza kuhimili hiyo hali
LAKINI Kama kweli Uchawi unahusika kwenye hali zao zilizowapata basi ni kutokana na kubomoa nyumba zenye mazindiko na makafara, yaani wameingia pasipo ingilika... Kiukweli ni kwamba kuna nyumba sizo kabisa zimebebeshwa vitu vya ajabu na vya kutisha mno! Wanaopanga uswazi ni mashuhuda kwenye hili
Kuna nyumba ni gateway ya kuzimu kuna nyumba ni vilinge vya wachawi kuna nyumba zimeshafanyiwa mambo ya ajabu mno na kuharibiwa kabisa kutokana na mirathi dhuluma nknk, kwahiyo ukiingia kwenye anga zake huko lazima likupate la kukupata
Operation bomoabomoa ina wahusika wengi Kama kweli ni kipapai kingeanza kupukutisha mamlaka za juu mpaka chini na isingekuwa watu wahusika wawili tu tena ambao yaliyowapata hayana ithibati za moja kwa moja na ushirikina
HUYO OPARETA WA ILE MASHINE MI JIRANI YANGU HAPA BUNJU,, YUPO MZIMA WA AFYA,,,NI MSAMBAA KABILA LAKE,,,,,,,NI UZUSHI KUSEMA KUWA KAPIGWA KIPAPAI AU KAROGWA
ndio maana nikakwambia uache fix, fyi nimeishi upanga wakati nasoma primary school, umezungumzia kilimanyege wakati niko sekondari nimekaa mitaa hio mpaka nimeanza kujitegemea, hakuna hizo vitu ni stories tu hamna ukweli wowote.kwanza mie siaongelea kuhusu Tingatinga mie nimeongelea kuhusu maeneo ambapo kuna paranomal activities nashangaa umetoka ulikotoka kubisha na kuniambia niache fix
sidhani wewe ni mtoto wa mjini kwa maana mtoto uliyezaliwa na kukulia kariakoo, upanga, magomeni kama ungekuwa umezaliwa na kukulia huku usingesumbua na maneno yako kwani watu wamekutana nalo sana jini la fire tena ni mwanamke na huwa anavaa hijab...
wakongwe mtanisaidia nakumbula enzi za 90s mwanamke ukivaa hijab ukapita fire saa saba usiku hautapigwa ngwala na vibaka wala nini coz ya urban legend hiyo
au uliza madereva taxi wa kariakoo wale wakongwe wa enzi na enzi watakupa story nyinyi mliokuja dar baada ya kuingia chuo kikuu mnatusumbua sana
unajua unaweza kuishi nyumba moja na mchawi na kama huamini kama kuna uchawi hukubali kuwa yule unayeishi nae ni mchawi so kama huamini sema tu i dont believe ila wacha watu wanaoamini waendelee kuaminindio maana nikakwambia uache fix, fyi nimeishi upanga wakati nasoma primary school, umezungumzia kilimanyege sekondari nimekaa mitaa hio mpaka nimeanza kujitegemea, hakuna hizo vitu ni stories tu hamna ukweli wowote.
Aisee we jamaaaKuna nyumba moja iko sehemu fulani hapa mjini ni bonge la jumba ghorofa ila haina mpangaji miaka nenda miaka rudi kuna mama mmoja alipanga hiyo nyumba siku moja usiku akiwa amelala aliamka na kwenda msalani alivyorudi kitandani akajiona yeye amelala pale kitandani na nguo zile zile alizovaa
bahati yake alitoka kutoa haja ndogo maana angejikojolea pale pale ila am sure alijamba
UOGA TU. HAMNA KITU KAMA HICHO.
naona unapaniki sasa,ulitoka kwenye mada ukaleta utoto wa mjini sasa unaanza kuleta kashfa nyingine.......usiku mwema.unajua unaweza kuishi nyumba moja na mchawi na kama huamini kama kuna uchawi hukubali kuwa yule unayeishi nae ni mchawi so kama huamini sema tu i dont believe ila wacha watu wanaoamini waendelee kuamini
mimi naweza kutana na mtu kavaa hijab nikakwambia huyo ni jini wewe kwa kuwa huamini kama kuna jini na unamuona ni mwanamke utaniambia acha fix huyu ni mwanamke
na unaweza kuwa umekaa sehemu lakini huijui kwakuwa akili yako inaonekana ya kitoto
Hayakubomolewa, waliomba ridhaa kwa ukoo wa kiyeyeu, waliruhusiwa kuhamisha kupeleka sehemu nyingine bondeni zaidi ukisimama maeneo yale ya masalale hadi njiapanda ya mlolo makaburi yanaonekana kwa bondeni na kwa kukusaidia hakuna aliyeshiriki kuhamisha yale masalia yupo mzima mpaka dakika hii.makaburi ya kiyeyeu nguzo za umeme zili divert kwani walikuwa wakiweka umeme juu yake umeme haupiti na ni ule gridi ya taifa wakaona isiwe tabu waka divert ila juzi juzi makaburi hayo yamebomolewa
Hayakubomolewa, waliomba ridhaa kwa ukoo wa kiyeyeu, waliruhusiwa kuhamisha kupeleka sehemu nyingine bondeni zaidi ukisimama maeneo yale ya masalale hadi njiapanda ya mlolo makaburi yanaonekana kwa bondeni na kwa kukusaidia hakuna aliyeshiriki kuhamisha yale masalia yupo mzima mpaka dakika hii.
naona unapaniki sasa,ulitoka kwenye mada ukaleta utoto wa mjini sasa unaanza kuleta kashfa nyingine.......usiku mwema.
duh!!! hatariiHayakubomolewa, waliomba ridhaa kwa ukoo wa kiyeyeu, waliruhusiwa kuhamisha kupeleka sehemu nyingine bondeni zaidi ukisimama maeneo yale ya masalale hadi njiapanda ya mlolo makaburi yanaonekana kwa bondeni na kwa kukusaidia hakuna aliyeshiriki kuhamisha yale masalia yupo mzima mpaka dakika hii.