C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,753
Hakuna jini mkuu hizo ndo stori za sungura mjanja
sure nakwambia fire limeshawatokea wengi
hata pale Kilimanyege pale kuna kitu
Hakuna jini mkuu hizo ndo stori za sungura mjanja
Unajua yale mazingira yana mambo mengi ya ajabu kwanza kariakoo halafu bonde la jangwani kisha hospital ya Muhimbili na makaburi yake na Mwishoni ule mkondo wa bahari na bahari yenyewe pale sealander.... Hayo mazingira yote ni mazingira rafiki kwa Uchawi ushirikina majini mapepo vinyamkera na Vibwengo
Mkuu hyo nasikia ilishatokeaga huko iringa tanroad walitaka wapitishe barabara kwenye kaburi LA chief, kilichowakuta wanajua wenyewewaroge lile tingatinga lisisogee......
Mkuu hyo nasikia ilishatokeaga huko iringa tanroad walitaka wapitishe barabara kwenye kaburi LA chief, kilichowakuta wanajua wenyewe
Umesoma na kuelewa nilichoandika lakini? Hebu rudia kusoma tena usiongozwe na mihemko ya kipuuziInaonekana wewe jamaa ni.mshirikina sana kwa taarifa yako greda zimetumika zaidi ya 10 mbona hakuna mtu anaumwa au ndio unadanganya mtaani?? Hakuna mtu yeyote anaeumwa.msimamizi wa zoezi ni serikali ili lisimame ni kuroga kuanzia Rais mpaka polis wote wafe basi mnashinda kama sivyo hameni bondeni ili yaishe...ukikalia ushirikina utapigwa greda na hakuna kitu kitatokea
always nasikia tu ningependa kushuhudia...lile tingatinga waliroge,likitaka kubomoa nyumba lizimike,likitaka kuondoka liwake liondoke....wasituletee stori za kinjekitile hapa!Mkuu hyo nasikia ilishatokeaga huko iringa tanroad walitaka wapitishe barabara kwenye kaburi LA chief, kilichowakuta wanajua wenyewe
Dah, kuna watu mafundi aiseemakaburi ya kiyeyeu nguzo za umeme zili divert kwani walikuwa wakiweka umeme juu yake umeme haupiti na ni ule gridi ya taifa wakaona isiwe tabu waka divert ila juzi juzi makaburi hayo yamebomolewa
mkuu kule hawarogeki kirahisi rahisi acha tu
hivi lile jini la fire linalotembea hadi salenda bado lipo?
Na ule mbuyu mkubwa ukikaribia kuingia Dodoma umesumbua sana wakati wa ujenzi wa ile barabara na mpaka leo hii eneo lile ajali haziishimakaburi ya kiyeyeu nguzo za umeme zili divert kwani walikuwa wakiweka umeme juu yake umeme haupiti na ni ule gridi ya taifa wakaona isiwe tabu waka divert ila juzi juzi makaburi hayo yamebomolewa
acha fix mkuu.....sure nakwambia fire limeshawatokea wengi
hata pale Kilimanyege pale kuna kitu
UOGA TU. HAMNA KITU KAMA HICHO.
hivi lile jini la fire linalotembea hadi salenda bado lipo?[/SIZE]
Mkuu,huo mbuyu nshaambiwa ivo na mother anguNa ule mbuyu mkubwa ukikaribia kuingia Dodoma umesumbua sana wakati wa ujenzi wa ile barabara na mpaka leo hii eneo lile ajali haziishi
Mkuu mlango wa kuelekea wapi!
pale salenda ndio funga kazi pale kuna "MLANGO" nasikia
Wewe unaeamini ushirikina ndio una upuuzi mwingi sana sijui ni div 6 wewe? Mijitu mingine inawaza kwa kutumia miguu..hivi ingalikua ushirikina unasaidia nchi hii ingekua mbali sanaUmesoma na kuelewa nilichoandika lakini? Hebu rudia kusoma tena usiongozwe na mihemko ya kipuuzi
acha fix mkuu.....
sijaona mahali umesema umekutana na hayo majini....ushawahi kukutana nayo? kila mtu humu anasema kasikia, aliekutana nayo atupe ushuhuda.....au waroge lile tingatinga lisiweze kuvunja zile nyumba.Kuna mwanajeshi mmoja alimwambia raia wa kawaida kuwa ninaweza kuua mtu kwa kidole yule raia akajibu akamwambia wewe ni mwongo hamna kitu kama hicho yule mwanajeshi akachukua mpira then akachukua vidole vyake vitatu vya kati haraka haraka akaingiza kwennye ule mpira mpira ukapasuka then akamwambia yule raia assume huu mpira ndio shingo yako
then akamwambia kuwa usichoweza wewe kufanya usifikiri hakiwezekani kufanyika duniani..
same here mie ni mwanajeshi wewe ni raia
kama wewe hujawahi kukutana na hao viumbe na wala huna elimu dunia ya kukuwezesha kuwaona , kuwahisi na wala kuwakaribia hao viumbe ukiambiwa wako sehemu fulani tulia dawa iingie
usibishe kitu usichokijua