Bomoa bomoa yafanyika Mbezi, wananchi walalamika kutopewa taarifa

Tuna uongozi katili sana, kama wangetangaza hata siku moja kabla halafu wahusika wakakaidi ningewaelewa, lakini 2006 hadi leo!!!!
Magufuli angalia uonevu huu, ninalaani jambo hili sana
Yuko miguu juu anayaangalia hayo maafa kwa I.T.V
 
Ttaarifa imetolewa tangu mwaka 2006 na kila baada ya miezi miwili walikuwa wanapewa notice. Vichwa vigumu
hivi sisi wabongo ni kweli taarifa za bomoa bomoa huwa hazitolewi kabla? sijawahi kusikia bomoa bomoa halafu mwananchi akiri kuwa taarifa ilitolewa mapema. Tujifunze kuwa wakweli
 
Ttaarifa imetolewa tangu mwaka 2006 na kila baada ya miezi miwili walikuwa wanapewa notice. Vichwa vigumu
Kwani wakipewa notisi na kuambiwa tarehe fulani tunakuja bomoa toeni vitu vyenu wanapoteza nini? Unapondaje vitu vua super market na machine ? Kweli huruma hakuna???
 
Walishindwaje kuwatangazia usiku kama wanavyotutangazia mambo ya usafi kwa kutumia magar ya matangazo tukiwa tumelala?

Kazi tu iendane na ubinadamu.
 
Back
Top Bottom