figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,061
- 64,209
Nyumba za wakazi wa eneo la kurasini shimo la udongo DSM zinabomolewa muda huu ili kumpisha muwekezaji katika eneo hilo.
Wananchi waishio Kurasini shimo la udongo walalamikia kitendo cha kubomolewa nyumba zao, kwani baadhi walikuwa hawajalipwa na wengine tathimini ilifanyika vibaya, hivyo walitegemea watathiminiwe upya kwani wengine malipo walopewa ni madogo kulinganisha na nyumba zao.

Wananchi wa Kurasini jijini Dar es Salaam leo Novemba 16, 2015 wamelalamikia ubomoaji wa nyumba zao uliofanywa na maofisa wa manispaa ya Temeke baada ya kupewa notisi ya kuondoka. Wananchi wamelalamikia malipo waliyolipwa ni madogo kulingana na gharama za nyumba zao.
Last edited by a moderator: