Bomoa bomoa ya Tabora imeniuma sana

Bomoa bomoa ya Tabora imeniuma sana

Genius Messi

Member
Joined
Oct 14, 2017
Posts
74
Reaction score
52
Nimeona Ktk Azam Tv tukio la Tabora wahanga/akina mama wakiangua vilio..
..imeniuma sana
Viongozii wanasema ramani ni ya toka mkoloni 1958..maana yake kabla ya uhuru..
Wahanga hawa waliachwaje wakianza na kuendeleza ujenzi kwa miaka ypte hiyo?yaani kuanzia 1961?nani mkosaji hapa?
"Mungu ni pendo apenda watu"
 
Mwenyewe inaniuma sana jitu bila aibu linasema ooooh hii Raman toka mwaka 58 mlikuwa wapiiiiii Qumamae kaBISAAAAAA
 
huku bomoa bomoa maeneo ya kuboresha reli... buguruni, tanga na sehemu zingine...

kule bomoa bomoa eneo la kimara kupisha upanuzi wa barabara...

gafla na mh. Lukuvi kaja na bomoa bomoa kwa majengo, nyumba zilizo jengwa kiholela na pasipo kuwa na vibali vya ujenzi....

wahanga ni wengi sana, inasikitisha kuona raia anakuwa mkimbizi ndani ya nchi yake....

ni heri waathirika wa bomoa bomoa wangepewa maeneo ya kwenda kuhamia kuliko kuwaacha wakiwa hawana pa kwenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom