Bomoa bomoa Moro Road watu wanazimia

Naombeni ufafanuz,zile nyumba zinabomolewa kwa umbali wa mita ngapi?Maana naona X imefika ndanindani kabisa tofaut na zile X za kawaida tulizozizowea?
mita 121.5 mkuu
 
Reactions: SDG
Hakuna aliyepokea fidia
 
HAKUNA SHERIA YA KUVUNJA BILA YA KUWEKEWA BIKON KABLA YA
KITAFATA KUPIGWA "x"
Baada ya hapo ndio ACTION INAANZA
MKUU FATILIA HILO SWALA HURNDA WENZIO WALISHAVUTA FIDIA KIMYAAA KIMYAAA
sijui, labda bikon za mwaka 1932 maana ndio sheria magu kaifufua
 
Basi jiji la Dar libadilishwe kuwa la miundo mbinu kuishi kupigwe marufuku

Eti miundombinu!!!
 
Hamia Dodoma kwa nini mnagangania Dar na kujijengea hovyo hata vyoo hamana mnabanana na kunyea kwenye Rambo, MTU anataka kuwarekebisha mnaleta songi
 
Barabara ya mita 200(viwanja viwili vya mpira kwa urefu wa goli mpaka goli)??
 
120m kutoka katikati ya Barabara, kwa hiyo barabara na reserve yale itakuwa na 240m
Mita mia mbili arobaini ni sawa na Viwanja viwili vya mpira ukivipanga kwa urefu jumlisha na nusu uwanja kasoro barabara moja!! Serious mkuu
 
Ya kwako itabomolewa?
 
Mita mia mbili arobaini ni sawa na Viwanja viwili vya mpira ukivipanga kwa urefu jumlisha na nusu uwanja kasoro barabara moja!! Serious mkuu

Kaka huamini?, mwanzo kabisa ilikuwa mita 60, na ndio alama za mwanzo zilipokuwepo so watu waliokuwa nje ya mita 60 walikuwa safe, sasa iliyotangazwa ni mita 120 unapima kutoka katikati ya Barabara kwenda upande mmoja na kisha upande wa pili ni mita hizohizo

Ofcourse kwa highway yenye njia sita mpaka nane na reserve ni sawa, kwa sababu kwa barabara sita za upana wa say 10m zinakuwa ni mita 60, so kila upande unabakia na reserve ya 60m

All in all sio kitu kibaya kupanua Barabara, lakini watu walipwe stahiki zao kadiri ya thamani ya rasilimali walizoziwekeza katika hayo maeneo kama hiyo vunjavunja inawakuta kwenye maeneo ambayo hayakuwa na plan ya hiyo barabara hapo awali
 
Ok! Kama ni ya more than two lanes!! Mi nilifikiri Ni kama hii ya huku kwetu Lemara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…