Ni muda gani mtu anastahili alipwe toka tathimini imefanywa carter?
ok ndio maana nikauliza kwanini ulipokea??kama unaona haitoshi unagoma kama hao waliogoma wakalipwa 300m...lkn sio unapokea hela then baadae unagoma kuhama unasema hela ndogo baada ya kuimaliza....kama hela ndogo usipokee weka pingamizi mahakamani
Baada ya tathmin ndo malipo yanafuata..na hela walizipokea iwe ndogo au nyingi tayari wamepokea na kwakupokea ndo tayar wamekubali kuondoka hapo. Sasa ndo maana unaona ambao hawakuzipokea hizo ndogo wamepata nyingi. Ndo bahati yao hao waliochukua hizo chache mapema na ukute washazitumia ndo balaa lake...narudia kusema wangeondoka mapema wasingepata haya
Ndo yamewakuta......ni mambo yakusikitisha sana.
dar sijui mtu ajenge wapi asikumbane na MAGFULISM AU TIBAIJUALISM
Jamani tuishie kuona kwenye picha tu,ila kubomolewa NYUMBA INAUMA SANA,,,,,BORA UBOMOE MWENYEWE KWA AJILI YA KUIKARABATI,,,,ILA MBONA ILE YA MCHUNGAJI WA MIKOCHENI B HAIVUNJWI???
inatia huruma sana nchi ambayo haithamini watu wake Tanzania inaongoza
View attachment 107809
View attachment 107810
View attachment 107811
View attachment 107812.
hapa mwisho wa updates zangu. asanteni kwa kunifuatilia. mia
Si ndio hapo mkuu!wakati mwingine wananchi nao wanashida zao, unakuta wamelipwa lakini bado wabishi kuondoka.