Mh.Iron Jioni njema hutokea kukamata randomly; Mwezi jana kwenye tokeo la Boston Marathon bomu, Tangazo la kwanza kabisa wamerekaniUS na taaluma zote za kiintelijensia baada ya mripuko tu walitangaza eti Msaudi ndo mhusika na ni kijana mwanafunzi tumemkaribia kumweka nguvuni !! (hapo boston peke kuna wanafunzi zaidi ya elfu5 wa kisaudia) Looh,
Wakuu hao baadaye kupeleleza waka geuza kibao na kuomba radhi na kutoa taarifa ingine kuwa walotenda ni wa CHECHENIA/warussi. eti wanafanana, Sasa mambo kama haya yanatokea kukamata mtu katika " WRONG PLACE and WRONG TIME"...
Lakini tusubiri reporti ya FBI hao mababa riwaya yao ni nini? Hakuna siri itakayo fichwa milele!!
good luck.
Hakuna kitu kibaya kama kuwa taifa nyonge. Hivi unafikiri wangekuwa ni watanzania wamekamatwa Uarabuni kwa tuhuma za ugaidi au kosa lingine lolote lile, unafikiri wangeachiwa kirahisi namna hiyo? Nakumbuka hata kuna afisa ubalozi wa nchi fulani ya mashariki ya kati alibaka dada wa kitanzania, na alipokuwa anajaribu kutoroka alikamatiwa uwanja wa ndege Dar. Baada ya kukamatwa nchi yake ilikataa kumwondolea kinga ili ashtakiwe na badala yake wakasema arusishwe nyumbani waangalie utaratibu mwingine. Hapo tukawa hatuna ujanja zaidi ya kufyata mkia na kumwachia muhalifu arudi kwao kuendelea na maisha yake kama kawaida. angekuwa ni Afisa ubalozi wa Tanzania huko Uarabuni nawaakikishia kingenuka. Kweli unyonge mbaya sana.
Lema ndo anawajua walipuaji. We subiri tu na yeye atakamatwa muda si mrefuGODBLESS LEMA alivyoongea mkamuana mgomvi..haya sasa tusubiri walipue lingine, labda watakamatwa..
Wewe unataka uchunguzi upi kama huu hutaki kuamini pengine wewe na chama chako mmehusika kwenye hilo bom make taarifa za vyombo vyombo vya kiuchunguzi unapingana navyo.Jeshi la Policcm linafanya kazi kisiasa, Alipotekwa Dr.Ulimboka tuliambiwa mkenya. Mlipuko wa Mabomu wasaudia. Sikatai kama wameshiriki au hapana, uchunguzi wa kina lazima ufanywe kabla ya kuwabambikia watu kesi nzito.
Mkuu, hilo ousishangae maana suala la ugaidi linagusa national and international interestsThere are currently 2221 users browsing this thread. (94 members and 2127 guests)
Safari bado ndefu sana.
Raia wa SAUDIA watatu wamefungwa life sentence in Kenya juzi tuu kwa taarifa yako!!!
Mkuu, hilo si gazeti la ma house girls. Ni gazeti la mmoja wa wafadhili wa chadema, gazeti la Nipashe. Ninaamini kuwa story hiyo iliandikwa kutokana na ushahidi wa mashuhuda. Hawakukurupuka. Isipokuwa kuna watu wanataka kulazimisha tukio hili ili ionekani watu wa dini nyingine ndo wamehusika
Alah! Kumbe tunaweza kufanya uchunguzi kwa kasi kiasi hiki mpaka watuhumiwa wanajulikana kama wana makosa au la ndani ya siku chache tu! Mbona hii kasi ya uchunguzi haikutumika kwa watuhumiwa kama Basili Mramba na wengineo maana kusingekuwa na maneno mengi kuwahusu leo Hii. Kweli nimeamini hata tukiitwa wadanganyika hatujaonewa. Yaani hata ile akili ya kuzaliwa tu ya kujiuliza hii kazi isiyo ya kawaida ya uchunguzi imetoka wapi tunakosa kabisa. Pole sana ndugu yangu. Lakini ukumbuke hao waarabu mimi sikuwahita wahalifu, bali niliwaita watuhumiwa. Kinachonishangaza ni jinsi Uchunguzi umekamilika kwa haraka na kesi yao kuamuliwa ndani ya kipindi kifupi. Sote tomezoea kuona kesi zikichukua muda hapa iwe mtuhumiwa ana hatia au hana. Jiulize tena ndugu yangu. Na pia ningependa kukuuliza, hivi chombo kinachoamua kwamba mtuhumiwa ana hatia au hana ni Mahakama, Polisi, Usalama wa taifa au nani? Na kama ni Mahakama, Ni lini hiyo kesi yao iliamuliwa?wewe mkuu kwa akili yako ndogo hata kama hawana hatia unataka waendelee kushikiliwa kisa tu ni wa nje huo mbona ni ushamba mkubwa sana ulionao mkuu.
Diversions za kisiasa..yeyote mwenye akili timamu alipaswa kujua tangu awali kwamba bomu halikua ugaidi wala udini..
Na Ambrose Victor wanamshikilia wa nini wakati yeye alikodiwa tu mkuu? Kama polisi walioko nje wanashindwa kumkamata mhalifu yeye Victor aliyempakia mara moja tu na tena akakimbia na hela yake atamtambua hata akimwona? Eti Tanzania inajidai ina security!!! Inawezekana ipo ila hili suala la bombing nahisi kitu? But hatuwezi kuchezea Watanzania kiasi hiki.Wewe unataka uchunguzi upi kama huu hutaki kuamini pengine wewe na chama chako mmehusika kwenye hilo bom make taarifa za vyombo vyombo vya kiuchunguzi unapingana navyo.
KIKO WAPI?
AMA MAOTA??
yaani tuliambiwa leo MEMBE ANAENDA KUONGEA NAO.
KUMBE WATU TAYARI WANAKULA RAHA FALME ZA KIAARABU.
TAARIFA YA NCHI YETU TUNAISIKIA TOKA VYOMBO VYA NJE????????Duh
Siamini.