sasa alama ya vidole inasaidia nini kama hakuna database?..labda tusubiri hivyo vitambulisho vya taifa ili wachukue fingerprint za raia wote ziwe kwenye database ndo tutaweza kamata wahalifu kwa ushahidi wa fingerprint.Sina shaka yo yote kuwa madereva wa bodaboda hawahusiki na ulipuaji wa bomu kanisani! Mlipuaji bado yuko mitaani anadunda!
Cha kushangaza askari wetu walishindwa hata kuchukua alama za vidole katika pikipiki aliyopanda huyo gaidi!?
Mkuu, fbi wamefanya kazi yao. Suala la lwakatare lipo chini yetu na hatujahusisha fbi. Lwakatare ni hatari zaidi na yeye amakamatwa kutokana na ushahidi wa ilevideoUshahidi wa kuwayia hatiani unaweza usiwepo lkn cha kujiuliza uchunguzi umeshakamilika ktk muda huu wa juzi tu??
Lwakatare hata mfano wa bomu hakuwa nao lkn kakaa lupango mpaka leo hawa waarabu juzi tu ushahidi tayari.
SERIKALI YA CCM ndiyo inayopanga mauaji haya ili kuwavuruga watz nchi iingie ktk machafuko. Liko wazi.
Kama Victor alikamatwa Nchimbi akasema mwenyewe 2days after IGP anakuja anatangaza dau la 50m kwa atakayempata mlipuaje, hivi hapa J.K & Co wanaona kila mtu ni mjinga kama wao?
Wewe uko milembe day unachoongea utadhani mazoea mitomingi.Twiga wamekwenda na sisi tunakwenda...tusubiri watuletee aioc na mhakama ya kadhi...mungu tuhurumie watanzania na tuepushe na hili janga
Kwa hiyo unataka 2015 apite nani?Uktaka kujua huu ni mkakat wa siri wa serkali angalia guest apo chni waliotumwa kupma upepo watanzania tuamke 2015..hakuna kuwarudsha hawa watu madarakan
Jioni njema hutokea kukamata randomly; Mwezi jana kwenye tokeo la Boston Marathon bomu, Tangazo la kwanza kabisa wamerekaniUS na taaluma zote za kiintelijensia baada ya mripuko tu walitangaza eti Msaudi ndo mhusika na ni kijana mwanafunzi tumemkaribia kumweka nguvuni !! (hapo boston peke kuna wanafunzi zaidi ya elfu5 wa kisaudia) Looh,
Wakuu hao baadaye kupeleleza waka geuza kibao na kuomba radhi na kutoa taarifa ingine kuwa walotenda ni wa CHECHENIA/warussi. eti wanafanana, Sasa mambo kama haya yanatokea kukamata mtu katika " WRONG PLACE and WRONG TIME"...
Lakini tusubiri reporti ya FBI hao mababa riwaya yao ni nini? Hakuna siri itakayo fichwa milele!!
good luck.
Mimi hata sielewi tofauti ya bomu kuwa la kgaidi na la kidini nisaidieni jamani? kwani wa suni na washia kule Iraq si ugaidi na udini humo humo??? Hata sielewi kabisa jamani nisaidieni.
Wewe acha kutunga hoja za kihuni mbona alipokamatwa lwakatare na ugaidi hukuongea haya nawakati guest walikuwa wengi.Uktaka kujua huu ni mkakat wa siri wa serkali angalia guest apo chni waliotumwa kupma upepo watanzania tuamke 2015..hakuna kuwarudsha hawa watu madarakan