life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Hii ndio Tz,wawalipe fidia basi
tusubiri feds tuangalie na wao watakuja na nini
Aisee tumasubiri mtuambie alie husika, maana hatusikii Kama Victor mwendesha Bodaboda nae kaachiiwa. ndio aachiwe kwani na Yeye ilitokea tu akambeba abiria hadi kwenye eneo la tukio.
Umenena haswa, watoe Majibu ya uchunguzi,Basi uchunguzi utakuwa umekamilika, watoe majibu hadharani.
Kama haujakamilika, why so soon?
Heee tulikurupuka?
hivi tatizo rais ndio kasema watolewe au hawana kosa?tatizo lenu mnajua kila mwarabu anaripua,,sasa badala ya kipindi kile kumtafuta alie ripua mmewakimbilia warabu wawatu na kuwaacha walio husika leo waarab hawana kosa mnaleta mambo ooh wamasai,,ooh wanapewa rasilimali,,rasilimari zinafaida gani kwako wakati hujui hata kuzitumia?mbona hamsemi migodi wala mzuungumzii gas,,au kwakua waliopewa viunga huko ni waraab ndio inakukereni?kwani wamepewa na nani?hii nchi ya democrasia au ya kidicteta?maana kila kitu anatupiwa zigo raisi kama yeye ndio aliamua peke yake wapewe,,nini bwana asidhulumiwe mtu kwa ajiri ya kabila lake au dini yake,,mkiitwa makafiri mnalalamikaSishangazwi hata kidogo na jambo hili. Tumezidi kujikomba umangani mpaka inatia aibu. Naona mkuu wa kaya baada ya kuona kimeanza kunuka Ulaya na Marekani wameshaanza kumstukia, sasa kageuza uso anatembeza bakuli nchi za kiarabu. Ndiyo sababu kila kukicha yuko huko na anadiriki 'kuwabembeleza' waje kuwekeza Tanzania kiasi cha kuwapa 'uhuru' wa kuitumia nchi yetu na rasilmali zake kwa namna wanayotaka wao. Hata wamasai sio kitu mbele ya maswahiba wake wa kiarabu; wanahamishwa kutoka kwenye ardhi yao ili wapewe waarabu, ndege zinabeba wanyama wetu kupeleka huko Arabuni mchana kweupe. Sembuse leo wakija kutulipua ataweza kufurukuta?
Tuamke nchi imeshauzwa. Waswahili husema ukiona manyoya jua kashaliwa... Kazi ni kwetu sisi wenye uchungu na nchi yetu kufanya mabadiliko kabla hatujageuzwa wote kuwa watumwa nchini mwetu.
Inawezekana, timiza wajibu wako - Mwalimu Nyerere.
na hapo wale watukuka FBI wapo...ndo maana nilisema kuwa wale jamaa walikua not guilt from the get go.wala siamini macho yangu!
lakini kuna mmoja humu aliweka post kuwa kama wameshindwa kuchunguza ya lwakatare sembuse ya arusha?
sizani kama kitakuja chama ambacho kitaondoa kitu udini,,na kama unabisha niambie kikiingia chadema udini utaondolewa vipi,,na ccm wanaupractiz vipi,,niambie nielewe mi sio mwanasiasa wala sina chama cha siasa..na wala mpango sina ila ninaona mambo yanavyoenda kwakua nipo nchiniUdini hautaisha mpaka tutakapoitoa CCM madarakani.Kinara wa udini Nchini ni M/Kiti wa CCM Dr Jakaya Kikwete.by G.Lema.
rasilimari gani mkuu,eti kale katwiga kamoja na vidigidigi kadhaa ambavyo thamani yake haifiki hata milioni tano ,ishakua issue hadi leo.wacanada wanahamisha macontainer ya mchaga wa dhahabu mchana kweupe,mchanga wa mabilioni ya dola wao wamekazania twiga mmoja wa milioni tatu ambae alikua airlifted five years ago.hivi tatizo rais ndio kasema watolewe au hawana kosa?tatizo lenu mnajua kila mwarabu anaripua,,sasa badala ya kipindi kile kumtafuta alie ripua mmewakimbilia warabu wawatu na kuwaacha walio husika leo waarab hawana kosa mnaleta mambo ooh wamasai,,ooh wanapewa rasilimali,,rasilimari zinafaida gani kwako wakati hujui hata kuzitumia?mbona hamsemi migodi wala mzuungumzii gas,,au kwakua waliopewa viunga huko ni waraab ndio inakukereni?kwani wamepewa na nani?hii nchi ya democrasia au ya kidicteta?maana kila kitu anatupiwa zigo raisi kama yeye ndio aliamua peke yake wapewe,,nini bwana asidhulumiwe mtu kwa ajiri ya kabila lake au dini yake,,mkiitwa makafiri mnalalamika
Exactly. That is what it means....So the suspected Emiratis are not guilty but Tanzanians!
hivi tatizo rais ndio kasema watolewe au hawana kosa?tatizo lenu mnajua kila mwarabu anaripua,,sasa badala ya kipindi kile kumtafuta alie ripua mmewakimbilia warabu wawatu na kuwaacha walio husika leo waarab hawana kosa mnaleta mambo ooh wamasai,,ooh wanapewa rasilimali,,rasilimari zinafaida gani kwako wakati hujui hata kuzitumia?mbona hamsemi migodi wala mzuungumzii gas,,au kwakua waliopewa viunga huko ni waraab ndio inakukereni?kwani wamepewa na nani?hii nchi ya democrasia au ya kidicteta?maana kila kitu anatupiwa zigo raisi kama yeye ndio aliamua peke yake wapewe,,nini bwana asidhulumiwe mtu kwa ajiri ya kabila lake au dini yake,,mkiitwa makafiri mnalalamika
Exactly. That is what it means.