Haaaaahaaaa
Hahahahaa ndio kuizindua au?
Haina haja tutatumia mpira wa kunyeshelea maua
Kwanini?Hata mmiliki wa hilo bus siku chache zijazo mtasikia amepimwa mkojo
Ni kama kuikejeli serikali kwa kulipa jina hilo bus lake wakati huu serikali ikiwa katika msukosuko wa kuikwamua ndege yenye brand hiyoKwanini?