Bombardier vs Kilimanjaro express vs Shabiby

mkuu mbona nawe umemuweka kwa avatr mtoto wa watu kipanga alizungumza mbele ya UN.ni mdgo wako au ndie weye?
Nimeweka kumpa heshima ya pekee kwa speech aliyoitoa mbele ya wale wazungu mkuu. Siyo Mdogo wangu na siyo Mimi ,ana umri unaoweza lingana na Binti yangu wa kwanza.
 
Acha kulinganisha bombadia na vitu vya kijinga
 
Nimeweka kumpa heshima ya pekee kwa speech aliyoitoa mbele ya wale wazungu mkuu. Siyo Mdogo wangu na siyo Mimi ,ana umri unaoweza lingana na Binti yangu wa kwanza.
ah vizur mkuu,..kumbe hat mi naweza kuwa mwanao kw umri wang,hahah ila usiamin ivo bhan mi mkubwa.
 
Panda Shabiby braza.

Naombeni ushirikiano wenu,kwani next week nimepanga niende mkoa.
Kati ya
(a) BOMBA-DIA (bombadia nimepewa ofa nipande bure)
(b)KILIMANJARO EXPRESS
(c)SHABIBY LINE

Nichague nini?
 
Naombeni ushirikiano wenu,kwani next week nimepanga niende mkoa.
Kati ya
(a) BOMBA-DIA (bombadia nimepewa ofa nipande bure)
(b)KILIMANJARO EXPRESS
(c)SHABIBY LINE

Nichague nini?
Mtu mwenye akili timamu hawezi kulinganisha vitu hivi viwili kwa utofauti uliopo na tena wa wazi. Starehe si sofa. Hata kama ni sofa, zina material yapi? Kuweni watu wazima. Basi ya kichina na bombadier wapi na wapi?
 
Panda Shabiby uwahi ahera kama siyo ulemavu. Soma habari zake imeua wangapi mpaka 2017 ndo utaipenda
Mkuu,nadhani ni umakini wa dereva2,coz hakuna tajiri anayependa kusikia gari yake imepata ajali ni sifa mbaya kwa kampuni
 
Kwa taarifa yako, Bombadia leo asubuhi kimeiovertake precision angani maeneo karibu na babati wakati, nani ana speed hapo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…