Bombardier + Chato International Airport vs Elimu

Bombardier + Chato International Airport vs Elimu

Nini kimekufanya uamini mimi ni CHADEMA fan? Funniest comment ever manake hoja yako inge-make sense kama hao waliopata Daraja la Kwanza wangekuwa wanafika angalau 50%. Hoja yako ingekuwa ni ya kuashiria mafanikio makubwa na kuonesha ni namna ilivyo ngumu to almost impossible kwa 100% yote kupata Daraja la Kwanza!!!

Kinyume chake, tunazungumzia matokeo ambayo hao Daraja la Kwanza hawafiki hata 5%!!!

Hauna hoja, kama tusingenunua Ndege hizo Sifuri zisingekuwepo? Na je ni mara ya kwanza kuwa Sifuri TZ? Na kabla ya sisi kununua Ndege na kujenga Uwanja kulikuwa hakuna Sifuri?
 
Hauna hoja, kama tusingenunua Ndege hizo Sifuri zisingekuwepo? Na je ni mara ya kwanza kuwa Sifuri TZ? Na kabla ya sisi kununua Ndege na kujenga Uwanja kulikuwa hakuna Sifuri?
Hata wewe ni zao halisi la elimu itolewayo na ccm ..., tazama jinsi unavyotetea upuuzi...
 
Hauna hoja, kama tusingenunua Ndege hizo Sifuri zisingekuwepo? Na je ni mara ya kwanza kuwa Sifuri TZ? Na kabla ya sisi kununua Ndege na kujenga Uwanja kulikuwa hakuna Sifuri?
Hoja ni vipaumbele ni ndugu na kama jambo dogo kama hilo unashindwa kuliona basi katu huwezi kuelewa ni nini hasa watu wanaposema suala la vipaumbele! Kama hizo ZERO zilikuwapo hata kabla ya hizo ndege katu haiwezi kuwa hoja kwa sababu hazikutakiwa na wala hazitakiwi kuwepo!!!

Kama hazitakiwi kuwepo, kinachofuata ni kuangalia ni kwanini zero zipo na zinaendelea kuwepo!!

Je, shule zina walimu wa kutosha? Je, shule zina vitendea kazi vya kutosha! Je, socio-economic factors ni rafiki kwa mwanafunzi kuweza kusoma?!

Kama maswali hayo hapo juu majibu yake ni mabaya, ndipo serikali inatakiwa kuangalia nini kinapaswa kuanza! Ianze kutatua changamoto za nchi kutokuwa na ndege au ianze kutatua changamoto zinazohusiana na elimu?

Je, tukianza na elimu na kuweka kiporo ununuzi wa ndege, ni kwa kiasi gani sekta ya usafiri na jamiii kwa ujumla vitaathirika! Au, hivi tukianza na ununuzi wa ndege na kuweka kiporo sekta ya elimu, ni kwa kiasi gani elimu na jamii itaathirika?

Ku-combine hayo maswali mawili hapo juu ni sawa na kuuliza: Hivi athari za kutokuwa na shule bora ni kubwa sana kwa jamii na taifa kwa ujumla kulinganisha na athari za kutokuwa na ndege?

Kwa mtu kama wewe na wa aina yako, ni kama mnasema "athari za serikali kutokuwa na ndege na kubwa zaidi kwa jamii na taifa kwa ujumla kuliko athari ya kuwa na shule za hovyo hovyo!"

So, keep playing politics!!!
 
Utandawazi unaharibu sana watoto siku hizi
Watoto hawasomi kwa bidii
Watoto hawajui majukumu yao kama wanafunzi
My point
Hata ungewapa walimu wazuri kwa kiwango gani bado matokeo yangeweza kuwa mabovu tu.
Nakuunga mkono wanafunzi hawajui wajibu wao wapo wapo tu. Mwanafunzi akitimiza wajibu wake kwa asilimia 100% hakosi division III.
 
Hoja ni vipaumbele ni ndugu na kama jambo dogo kama hilo unashindwa kuliona basi katu huwezi kuelewa ni nini hasa watu wanaposema suala la vipaumbele! Kama hizo ZERO zilikuwapo hata kabla ya hizo ndege katu haiwezi kuwa hoja kwa sababu hazikutakiwa na wala hazitakiwi kuwepo!!!

Kama hazitakiwi kuwepo, kinachofuata ni kuangalia ni kwanini zero zipo na zinaendelea kuwepo!!

Je, shule zina walimu wa kutosha? Je, shule zina vitendea kazi vya kutosha! Je, socio-economic factors ni rafiki kwa mwanafunzi kuweza kusoma?!

Kama maswali hayo hapo juu majibu yake ni mabaya, ndipo serikali inatakiwa kuangalia nini kinapaswa kuanza! Ianze kutatua changamoto za nchi kutokuwa na ndege au ianze kutatua changamoto zinazohusiana na elimu?

Je, tukianza na elimu na kuweka kiporo ununuzi wa ndege, ni kwa kiasi gani sekta ya usafiri na jamiii kwa ujumla vitaathirika! Au, hivi tukianza na ununuzi wa ndege na kuweka kiporo sekta ya elimu, ni kwa kiasi gani elimu na jamii itaathirika?

Ku-combine hayo maswali mawili hapo juu ni sawa na kuuliza: Hivi athari za kutokuwa na shule bora ni kubwa sana kwa jamii na taifa kwa ujumla kulinganisha na athari za kutokuwa na ndege?

Kwa mtu kama wewe na wa aina yako, ni kama mnasema "athari za serikali kutokuwa na ndege na kubwa zaidi kwa jamii na taifa kwa ujumla kuliko athari ya kuwa na shule za hovyo hovyo!"

So, keep playing politics!!!

Basi ungeiweka hoja yako kivingine lkn siyo kusema kuna Sifuri kwa sababu tumenunua au sijui kujenga uwanja kwani kusema hivyo maana yake ni kwamba bila ya kufanya hivyo Sifuri zisingekuwepo, lkn hakuna uthibitisho wa hilo kwani Sifuri zippo tangu kuanzishwa kwa Taifa hili!
 
Wapi nimesema kuna sifuri kwa sababu tumenunua ndege?! Nilichoandika tangu mwanzo ni hiki:
Najaribu kuangalia social-economic impact kati uwekezaji kwenye Bombardiers na vitu kama Chato International Airport na uwekezaji mbadala ambao ungefanyika kwenye elimu!!
Kuna tofauti gani kati ya hoja hiyo hapo juu na ile niliyokuandikia?!

Na ndio maana nika-conclude kwamba sijawahi kujuta upingaji wangu katika ununuzi wa ndege na ujenzi wa international airport kwa sababu naamini kulikuwa na better investment alternative kwa kile kidogo tulichonacho!!!
 
Jamani, Uwekezaji wakwenye ndege ni muhimu na tulichelewa kufanya hivyo utasaidia kuendeleza sector nyingine za uchumi

Ujengwaji wa uwanja wa Chato pia ni muhimu tena saana, ni sera ya serekali kila mkoa uwe na uwanja wa ndege,,,,na Chato utasaidia kufungua fursa za utalii, na sector nyingine za uchumi,

kwakumalizia hakuna uhusiano kati ya wanafunzi wa mkoa wa geita na wilaya zake kufeli na ufufuaji wa shirika letu la ndege na ujenzi wa viwanja vya ndege kila mkoa

wasalaam
 
Bonge la thread wenye ushahidi, big up mkuu,
Charity begin at home lakini kwa mambo ya msingi kama elimu!!
 
Huo ndiyo ukweli husika. Eti Elimu BURE!!! Elimu bure wakati hakuna hata mikakati ya kuboresha elimu NI BORA LIENDE TU na wao watoto wao hawatii mguu kwenye shule hizi ZA ELIMU BURE.

mmmmmhhhh mkuu chige ....

Nitakuunga mkono nami nitaandika makala ndefu sana kuchambua namna elimu ya sasa Tz ni uongo mtupu, ni kujaza ujinga tofauti na sera ya baba wa Taifa ya kuondoa ujinga.

Tunawachezea sana watoto wetu
 
Najaribu kuangalia social-economic impact kati ya uwekezaji kwenye Bombardiers na vitu kama Chato International Airport na uwekezaji mbadala ambao ungefanyika kwenye elimu!!

Sitaki kuwa mnafiki! Moja ambayo sijawahi kujuta na wala hailekei kwamba nitakuja kujuta ni ununuzi wa ndege pamoja na ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chato!

Wacha tuanze na Dad's home:
View attachment 687995

Dad's "city"

View attachment 687996

Dad's son (home)
View attachment 687997

Dad's son ("city")
View attachment 687998

Dad's Figurehead Assistant (Home)
View attachment 688006

Dad's Chief Executive (Home)
View attachment 688000

Dad's Chief Executive ("city")
View attachment 688001

Dad's Major Supporting Branch Boss (Home)

View attachment 688008

Dad's Major Supporting Branch Boss ("city")
View attachment 688002

NOTE: Kama unadhani haya ni ya mmoja, fanya hima kaangalie shule walizojazana watoto wa shangazi zako, watoto wa wajomba zako, watoto wa mama zako wadogo na wakubwa na sio hizi shule wanazosoma watoto wa akina Mwigulu Nchemba!!!
Hao waliotoka na Division 4 na 0 ndio watakaokuwa Wakuu kwenye sehemu za kazi ili ujinga ukubalike. Mungu Ibariki Tanzania!
 
Maendeleo ya Taifa lolote hutegemea sana Teknolojia, Uwepo wa teknolojia hutegemea sana uwepo wa wanascience, kifupi Maendeleo na Science ni vitu vinavyoenda pamoja. Bila science hakuna hakuna teknolijia na bila Teknolojia hakuna Maendeleo... Idadi ya wanafunzi wanaofanya mitihani ya science Tanzania ni wachache mno na hao wachache pia kati yao wengi hufeli na hao wanaofaulu wanakuwa wamekalili..
 
Another less intelligent chadema fan, kwa hiyo tusingenunua Ndege kufufua Shirika letu hizo sifuri ndo zisingekuwepo? Ni nchi gani Dunia hii watoto 100% wanapata daraja la kwanza?

Na hapa ndio kwenye Tatizo, namaanisha watu kama wewe ndio wanaosababisha Tanzania iendelee kuwa masikini..

Unafufua shirika huku hauna mapilot, Engineers, watalaam mbalimbali wa Aviation, Ndio wewe juzi ukashauri Fast jet itunguliwe/ihujumiwe baada ya kuishiwa mbinu..
 
Kwa ni nani amekwambia hao wote uliowataja hawapo? Ina maana TZ yetu Ndege zote zinarushwa na remote Control?
 
Ukweli ni kwamba ukihifadhi kitu katika ubora mkubwa kitakua na ubora mzuri hata utapomkabidhi mtu mwingine akitumie

Kama vichwa vya watu waliopata dv 3 na 4 ndo tunavitegemea kutranfer knowledge materials Kwa vijana wetu unadhani tunaunda product ya namna gani??

Mwalimu mbovu wa tense hana historia Ya kupata walau 45asilimia ya ufaulu WA hisabati leo hii unampa kichwa kitupu Cha mtoto akijaze mbinu za linear programs, logarithms, aljebra mathematics kisha mtoto awe T. O????
Kiukweli boresho la kwanza ni walimu bora wenye uwezo wa kuwatoa ujinga hata slow learners wapate dv 1 kama wakielewa mbinu sahihi za kusolve problems

Asilimia sabini na tano Ya lawama ni Kwa wazazi na jamii Kwa ujumla
Wengi hawana desturi Ya ufatiliaji wa kile kinachofundishwa na kupima uelewa wa watoto
Mzazi anazingatia mavazi, daftari, ugali, kwenda na kurudi ila afatilii ubora wa knowledge materials ambazo mtoto anatakiwa apate .

Watoto wanakuwa huru sana kufanya mambo yao na kitu kibaya zaidi misingi mibovu Ya imani ambayo huondoa hofu Kwa watoto kushiriki mambo mabaya yaliyo na mchango hasi Kwa mendeleo yao kielimu

Tusimlaumu sana John pombe tuangalie je tunasimama kwenye nafasi zetu kama wazazi na jamii
"Hapa kazi tu"
 
Another less intelligent chadema fan, kwa hiyo tusingenunua Ndege kufufua Shirika letu hizo sifuri ndo zisingekuwepo? Ni nchi gani Dunia hii watoto 100% wanapata daraja la kwanza?
Mimi nilisoma Kenya sasa wewe Google matokeo ya huko ,Rwanda na Uganda
"....hivi shule mnaenda kukufunza ujinga?..." faiza Foxy
 
Naam pyu pyu ilifanyika baada ya kauli hii ya Lissu na kuanika kukamatwa kwa pangaboi kule Canada. Bunge lliliidhinisha bilioni 2 uwanja wa ndege wa Chato lakini matumizi yanakaribia bilioni 350. Kwa hiyo zaidi ya bilioni 300 na ushee jamaa anajichotea tu hazina kama pesa zake vile.

Mheshimiwa Lissu alisema ile Airport itaishia kuwa kama Gbadolite. Enzi za Mobutu. Baada ya kauli hiyo na kutujuza yaliyojiri kwenye Bombadier kule Canada mara tu pyu pyu
 
Back
Top Bottom