Bombardier + Chato International Airport vs Elimu

Bombardier + Chato International Airport vs Elimu

Ukweli ni kwamba ukihifadhi kitu katika ubora mkubwa kitakua na ubora mzuri hata utapomkabidhi mtu mwingine akitumie

Kama vichwa vya watu waliopata dv 3 na 4 ndo tunavitegemea kutranfer knowledge materials Kwa vijana wetu unadhani tunaunda product ya namna gani??

Mwalimu mbovu wa tense hana historia Ya kupata walau 45asilimia ya ufaulu WA hisabati leo hii unampa kichwa kitupu Cha mtoto akijaze mbinu za linear programs, logarithms, aljebra mathematics kisha mtoto awe T. O????
Kiukweli boresho la kwanza ni walimu bora wenye uwezo wa kuwatoa ujinga hata slow learners wapate dv 1 kama wakielewa mbinu sahihi za kusolve problems

Asilimia sabini na tano Ya lawama ni Kwa wazazi na jamii Kwa ujumla
Wengi hawana desturi Ya ufatiliaji wa kile kinachofundishwa na kupima uelewa wa watoto
Mzazi anazingatia mavazi, daftari, ugali, kwenda na kurudi ila afatilii ubora wa knowledge materials ambazo mtoto anatakiwa apate .

Watoto wanakuwa huru sana kufanya mambo yao na kitu kibaya zaidi misingi mibovu Ya imani ambayo huondoa hofu Kwa watoto kushiriki mambo mabaya yaliyo na mchango hasi Kwa mendeleo yao kielimu

Tusimlaumu sana John pombe tuangalie je tunasimama kwenye nafasi zetu kama wazazi na jamii
"Hapa kazi tu"
kwani bado hawajakuelewa mkuu
yaani fact zote hizi unazozimwaga ..bado kuna watu wanapinga aiseee

sasa natambua vyema kwann waliambiwa wakatubu
 
Kwa ni nani amekwambia hao wote uliowataja hawapo? Ina maana TZ yetu Ndege zote zinarushwa na remote Control?

hata mmoja akiwepo jibu ni wapo, tunazungumzia kwa idadi ya kutosha.. au umesahau ni juzi tulipeleka watu Canada wakasome baada ya kununua Bombadier na wengine wako Ethiopia pale, hapo imejidhihirisha hatukua tayari ila tunazima moto.. Ukitaka majibu mengine angalia Management (CV) za tuliowapa dhamana ya kuendesha hayo mashirika na kama kweli wewe mzalendo utaelewa ni nini ninachosema..

Ni vizuri pia ukafuatilia mashirika ya ndege makubwa yanayooperate Tanzania na yale madogo kama coastal na Auric halafu uhesabu idadi ya mapilot wazawa vs wageni.. pale Precision wako mapilot wakenya na wabongo wachache, Fat jet wako pia wabongo wakuhesabu na hao wabongo waliopo walipewa training na Fastjet wenyewe, hivi vindege vidogo vingi wako wahindi/waarabu/wazungu/wakenya na wabongo wachache.. Nenda pale Jomo kenyata uhesabu marubani wa kitanzania..
 
Asilimia sabini na tano Ya lawama ni Kwa wazazi na jamii Kwa ujumla

Wengi hawana desturi Ya ufatiliaji wa kile kinachofundishwa na kupima uelewa wa watoto
Mzazi anazingatia mavazi, daftari, ugali, kwenda na kurudi ila afatilii ubora wa knowledge materials ambazo mtoto anatakiwa apate .

Watoto wanakuwa huru sana kufanya mambo yao na kitu kibaya zaidi misingi mibovu Ya imani ambayo huondoa hofu Kwa watoto kushiriki mambo mabaya yaliyo na mchango hasi Kwa mendeleo yao kielimu

Tusimlaumu sana John pombe tuangalie je tunasimama kwenye nafasi zetu kama wazazi na jamii
"Hapa kazi tu"

Hivi kwa uelewa wako unadhani wazazi wenye watoto Feza Boys/Girls hawafuatilii maendeleo ya watoto wao?

Hivi unadhani wazazi wenye watoto Marian au St Francis hawafuatilii maendeleo ya watoto wao?!

Au unamzungumzia wazazi sawa na mjomba wangu mimi wa kule Kilwa Kisiwani na yule wa Bwejuu wanaoshi kwa kutegemea uvuvi ambao hata ukisema nakupa bilioni 50 niambie Linear Programming ni nini si ajabu anaweza kukuambia simu ya laini mbili!!!

Hivi ni wazazi wangapi wenye watoto wao shule za kata hususani zile za vijijini wanaofahamu lolote kuhusu elimu ya sekondari?!

Hivi mzazi ambae mwenyewe ameishia darasa la saba unatarajia atafuatilia kitu asichokifahamu?!

Uliyosema ni kweli kwamba:
Mzazi anazingatia mavazi, daftari, ugali, kwenda na kurudi ila afatilii ubora wa knowledge materials ambazo mtoto anatakiwa apate.
Na hawa ndio concern yangu manake uwezo wa wazazi wao ndio umeishia hapo... kuhakikisha mtoto anapata sare za shule, madaftari n.k na mengine yapo above his/her pay grade... hajui lolote!

Na hawa wazazi wa aina hii ndio hao ambao watoto wao wamejazana kwenye Div IV na Zero!! Sio kosa lao... ni socio-economic obstacles zilizorithishwa kizazi hadi kizazi!! Miongoni mwa hao wazazi hata hiyo shule yenyewe kwao wanaona burden ambayo endapo wangekuwa na uhuru wa kuchagua, wangechagua kutowapeleka kabisa na shuleni kwenyewe!!!

Don't forget, bado tunaishi kwenye jamii ambayo wengi ni wajinga huku ujinga huo ukiwa umetokana na kutokuwa na elimu! Enzi za Nyerere watoto waliweza kusoma kwa sababu zile socio-economic barriers zilikuwa ni burden ya serikali vinginevyo hata hawa ma-profesa tulio nao hii leo si ajabu angalau nusu yake wasingekuwepo!!
 
hata mmoja akiwepo jibu ni wapo, tunazungumzia kwa idadi ya kutosha.. au umesahau ni juzi tulipeleka watu Canada wakasome baada ya kununua Bombadier na wengine wako Ethiopia pale, hapo imejidhihirisha hatukua tayari ila tunazima moto.. Ukitaka majibu mengine angalia Management (CV) za tuliowapa dhamana ya kuendesha hayo mashirika na kama kweli wewe mzalendo utaelewa ni nini ninachosema..

Ni vizuri pia ukafuatilia mashirika ya ndege makubwa yanayooperate Tanzania na yale madogo kama coastal na Auric halafu uhesabu idadi ya mapilot wazawa vs wageni.. pale Precision wako mapilot wakenya na wabongo wachache, Fat jet wako pia wabongo wakuhesabu na hao wabongo waliopo walipewa training na Fastjet wenyewe, hivi vindege vidogo vingi wako wahindi/waarabu/wazungu/wakenya na wabongo wachache.. Nenda pale Jomo kenyata uhesabu marubani wa kitanzania..


Sasa jibu unalo kwamba tumepeleka watu kusoma ili waje waendeshe Ndege, sasa unataka nini tena?
 
Mimi nilisoma Kenya sasa wewe Google matokeo ya huko ,Rwanda na Uganda
"....hivi shule mnaenda kukufunza ujinga?..." faiza Foxy


Wewe ndo mjinga kila nchi na mfumo wake wa elimu pmj na changamoto zake, huwezi tu kusema google matokeo ya Uganda hlf ulinganishe na yetu bila ya kuweka changamoto za Uganda kielimu na zetu, Je ni asilimia ngapi ya watoto Uganda wako shuleni?

Unachokiongelea ni sawa na wanaosema na kusifia kwamba Shule binafsi zinafanya vizuri klk za Serikali na kuilaumu Serikali lkn Shule za Binafsi wanachagua watoto wakati Serikali wanachukuwa kila mtoto mwenye kila aina ya changamoto, kuanzia watoto wa mitaani wasio na wazazi, Mayatima n.k. wkt Shule binafsi wanachukuwa ma elite tu, hivyo ili uweze kuilinganisha ni lzm ujue zaidi na siyo kuangalia namba tu!
 
waliofeli wamefichwa kwenye Division 4!ha!ha!ha!ha! sijui mwanangu nimpeleke WAP akasome!!!
Tafuta Private Schools. Zipo hazina majina sanaaaaaaaaaaaaa, ila zimamatokeo mazuri sana. Achana na shule za kisiasa ambazo mtoto ansoma huku anshinda na njaa kutwa nzima. Badala ya kumsikiliza mwalimu, anafikiria jinsi ya kushiba. NI SHDAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Sasa jibu unalo kwamba tumepeleka watu kusoma ili waje waendeshe Ndege, sasa unataka nini tena?

Utayari kabla ya kununua, au tunanunua tuje tujifunzie na sio business itakayoleta faida?..
Unaanza kufanya biashara ambayo hukuwa na utayari nayo tena matrilioni ya hela..
 
ahaaa ahaaa pass zetu za sasa zina futures nyingi sana
 
Another less intelligent chadema fan, kwa hiyo tusingenunua Ndege kufufua Shirika letu hizo sifuri ndo zisingekuwepo? Ni nchi gani Dunia hii watoto 100% wanapata daraja la kwanza?
We jamaa mungu akusaidie tu.
 
Wewe ndo mjinga kila nchi na mfumo wake wa elimu pmj na changamoto zake, huwezi tu kusema google matokeo ya Uganda hlf ulinganishe na yetu bila ya kuweka changamoto za Uganda kielimu na zetu, Je ni asilimia ngapi ya watoto Uganda wako shuleni?

Unachokiongelea ni sawa na wanaosema na kusifia kwamba Shule binafsi zinafanya vizuri klk za Serikali na kuilaumu Serikali lkn Shule za Binafsi wanachagua watoto wakati Serikali wanachukuwa kila mtoto mwenye kila aina ya changamoto, kuanzia watoto wa mitaani wasio na wazazi, Mayatima n.k. wkt Shule binafsi wanachukuwa ma elite tu, hivyo ili uweze kuilinganisha ni lzm ujue zaidi na siyo kuangalia namba tu!
Si kweli hicho unachotete private haichagui huwa inachukua wale waliokosa kuchaguliwa shule za serikali na wale ambao wanapenda kusoma shule za private ambao hawataki za serikali
 
Si kweli hicho unachotete private haichagui huwa inachukua wale waliokosa kuchaguliwa shule za serikali na wale ambao wanapenda kusoma shule za private ambao hawataki za serikali


Hata hili nalo unataka kuleta ubishani?
 
Hata hili nalo unataka kuleta ubishani?
Hapana nataka tueleweshane kwa facts
Kwa mfano mim binafsi kipindi hicho nasoma primary school nilikosa kuchaguliwa shule ya serikali kutokana na ufaulu wangu mdogo bahati nzuri wazazi wangu walikua na uwezo kiasi chake nikapelekwa shule ya private kweli Mungu si Athuman wala hafananishwi kidato cha nne nikafaulu kwa kiwango kikubwa tu. So siwezi sema private ilituchagua kwenda kusoma pale ila ni kushindwa kufaulu kwangu ndo kulinipeleka private.
 
Hoja ni vipaumbele ni ndugu na kama jambo dogo kama hilo unashindwa kuliona basi katu huwezi kuelewa ni nini hasa watu wanaposema suala la vipaumbele! Kama hizo ZERO zilikuwapo hata kabla ya hizo ndege katu haiwezi kuwa hoja kwa sababu hazikutakiwa na wala hazitakiwi kuwepo!!!

Kama hazitakiwi kuwepo, kinachofuata ni kuangalia ni kwanini zero zipo na zinaendelea kuwepo!!

Je, shule zina walimu wa kutosha? Je, shule zina vitendea kazi vya kutosha! Je, socio-economic factors ni rafiki kwa mwanafunzi kuweza kusoma?!

Kama maswali hayo hapo juu majibu yake ni mabaya, ndipo serikali inatakiwa kuangalia nini kinapaswa kuanza! Ianze kutatua changamoto za nchi kutokuwa na ndege au ianze kutatua changamoto zinazohusiana na elimu?

Je, tukianza na elimu na kuweka kiporo ununuzi wa ndege, ni kwa kiasi gani sekta ya usafiri na jamiii kwa ujumla vitaathirika! Au, hivi tukianza na ununuzi wa ndege na kuweka kiporo sekta ya elimu, ni kwa kiasi gani elimu na jamii itaathirika?

Ku-combine hayo maswali mawili hapo juu ni sawa na kuuliza: Hivi athari za kutokuwa na shule bora ni kubwa sana kwa jamii na taifa kwa ujumla kulinganisha na athari za kutokuwa na ndege?

Kwa mtu kama wewe na wa aina yako, ni kama mnasema "athari za serikali kutokuwa na ndege na kubwa zaidi kwa jamii na taifa kwa ujumla kuliko athari ya kuwa na shule za hovyo hovyo!"

So, keep playing politics!!!
Mkifika wadau kama kumi wenye uwezo wa kuchambua hoja namna hii itakuwa safi sana.
Kunatatizo la kimtazamo kudhani kila kuchambuliwa hoja kwa mantiki ya kimtadha ni upinzani.
Na pia kila kukiwa na hoja ya kuikosoa na kuelekeza serikali nn matakwa kijamii ,nayo ni uchochezi .
Kizuri ni propaganda ya kuisifia serikali.
Na mm niongezee nyama kwenye uchambuzi wako kama ifutavyo:
Elimu ni mwanga unaotoa ufahamu mwelekeo wa kumudu nabkupambana na mazingira katika jamii fulani.ki mantiki jamii kuendelea lazima huwezi kukwepa hitaji la elimu na si elimu pekee ,bali elimu sitahiki,bora na yenye kiwango.
Jamii kukosa elimu,yafutayo lazima unaone kiuwazi,ujinga kuongezeka,umasikini kuongezeaka,ajira kuwa tatizo,nguvu kazi kuwa kubaki ikizurula kama karatasi haina mwenyewe,maradhi,magonjwa na vifo vingi vitaongezeka,uzalishaji mali kuwa duni,na mengine ongezea.
Kwahiyo kipaumbele cha kwanza kwa taifa lenye muono wa dhati wa kimutadha wa maendeleo kipaumbele ni elimu.
Haya ya mabombandier ,maviwanja ya ndege chato si kipaumbele cha taifa kuendelea kuliko kuiweka kando elimu.
Huyo anayetetea kuwepo sufuri kwq asilimia kubwa ajiulize taifa letu linauwezo mkubwa kimapato?je kusomesha huyo aliyepata sufuri hakuna pesa ya mlipa kodi ilitumika?sasa iweje ushangilie upotevu wa fedha ,inahitajika sana kwenye mahitaji ya kuboresha maisha ya jamii?
Nakupongeza kwa mara nyingine kuwa mchambuzi mzuri jamii forum inaimarika
 
Najaribu kuangalia social-economic impact kati ya uwekezaji kwenye Bombardiers na vitu kama Chato International Airport na uwekezaji mbadala ambao ungefanyika kwenye elimu!!

Sitaki kuwa mnafiki! Moja ambayo sijawahi kujuta na wala hailekei kwamba nitakuja kujuta ni ununuzi wa ndege pamoja na ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chato!

Wacha tuanze na Dad's home:
View attachment 687995

Dad's "city"

View attachment 687996

Dad's son (home)
View attachment 687997

Dad's son ("city")
View attachment 687998

Dad's Figurehead Assistant (Home)
View attachment 688006

Dad's Chief Executive (Home)
View attachment 688000

Dad's Chief Executive ("city")
View attachment 688001

Dad's Major Supporting Branch Boss (Home)

View attachment 688008

Dad's Major Supporting Branch Boss ("city")
View attachment 688002

NOTE: Kama unadhani haya ni ya mmoja, fanya hima kaangalie shule walizojazana watoto wa shangazi zako, watoto wa wajomba zako, watoto wa mama zako wadogo na wakubwa na sio hizi shule wanazosoma watoto wa akina Mwigulu Nchemba!!!
Jamani kwani cc watu wa Chato tunadhambi yeyote kuwa na uwanja wa ndege?? Ni halali kweli rais wetu mpendwa awe anashukia mwanza anakuja Chato kwa gari?? Je gari likipata pancha rais wetu aanze kuziba pancha tena jamani?? Hebu tuacheni watu wa chato tule bata.
 
Kwa upande mmoja nakubaliana na wewe lakini wapo pia, maelfu kwa maelfu wenye nia na moyo wa kusoma kwa bidii lakini wanakwamishwa na mazingira!

Nimeangalia matokeo ya shule moja ya kata. Wanafunzi hawajafanya Physics & Chemistry kuonesha wazi hakuna hao walimu! Hata hivyo, wamefanya Biology na Maths na kwa ujumla, wamefanya vizuri kidogo kwenye Biology lakini Maths wote F.

Picha niliyopata hapa ni kwamba wana mwalimu mmoja tu wa Sayansi ambae possibly background yake ni ama CBG or PCB. Labda kwa kutaka kuokoa jahazi, akalazimika awe anafundisha na maths.

Tunafahamu watu wa CBG/PCB sio watu wa maths na huwa wanaenda kwenye paper kutafuta S. Asipokuta swali la Statistics na Logic anaanza ku-panic manake anajua kabisa S itaruka mbawa!!!

Sasa hivi zipo shule ngapi za aina hii hasa ukizingatia ile programu ya Special Diploma in Science subjects ilishafutwa badala ya kuiboresha!!! Program imefutwa wakati wanaoenda A-Level with PCMB ni wachache sana!
[emoji38] pale Juhudi Sec School Gongolamboto darasa lina wanafunzi 800 form 1
 
Mkifika wadau kama kumi wenye uwezo wa kuchambua hoja namna hii itakuwa safi sana.
Kunatatizo la kimtazamo kudhani kila kuchambuliwa hoja kwa mantiki ya kimtadha ni upinzani.
Na pia kila kukiwa na hoja ya kuikosoa na kuelekeza serikali nn matakwa kijamii ,nayo ni uchochezi .
Kizuri ni propaganda ya kuisifia serikali.
Na mm niongezee nyama kwenye uchambuzi wako kama ifutavyo:
Elimu ni mwanga unaotoa ufahamu mwelekeo wa kumudu nabkupambana na mazingira katika jamii fulani.ki mantiki jamii kuendelea lazima huwezi kukwepa hitaji la elimu na si elimu pekee ,bali elimu sitahiki,bora na yenye kiwango.
Jamii kukosa elimu,yafutayo lazima unaone kiuwazi,ujinga kuongezeka,umasikini kuongezeaka,ajira kuwa tatizo,nguvu kazi kuwa kubaki ikizurula kama karatasi haina mwenyewe,maradhi,magonjwa na vifo vingi vitaongezeka,uzalishaji mali kuwa duni,na mengine ongezea.
Kwahiyo kipaumbele cha kwanza kwa taifa lenye muono wa dhati wa kimutadha wa maendeleo kipaumbele ni elimu.
Haya ya mabombandier ,maviwanja ya ndege chato si kipaumbele cha taifa kuendelea kuliko kuiweka kando elimu.
Huyo anayetetea kuwepo sufuri kwq asilimia kubwa ajiulize taifa letu linauwezo mkubwa kimapato?je kusomesha huyo aliyepata sufuri hakuna pesa ya mlipa kodi ilitumika?sasa iweje ushangilie upotevu wa fedha ,inahitajika sana kwenye mahitaji ya kuboresha maisha ya jamii?
Nakupongeza kwa mara nyingine kuwa mchambuzi mzuri jamii forum inaimarika
Ahsante kwa nyongeza murua kabisa.
 
Back
Top Bottom