Bombardier + Chato International Airport vs Elimu

Bombardier + Chato International Airport vs Elimu

Jamani kwani cc watu wa Chato tunadhambi yeyote kuwa na uwanja wa ndege?? Ni halali kweli rais wetu mpendwa awe anashukia mwanza anakuja Chato kwa gari?? Je gari likipata pancha rais wetu aanze kuziba pancha tena jamani?? Hebu tuacheni watu wa chato tule bata.
Basi sawa, tena wahakikishe kunakuwa na helikopta kabisa ya kumtoa toka international airport hadi nyumbani! Hii itasaidia kupunguza risk ya road accident toka airport to nyumbani and vs!
 
[emoji38] pale Juhudi Sec School Gongolamboto darasa lina wanafunzi 800 form 1
Duh! Wanafunzi 800 si shule mzima hiyo Form I-IV huku kila darasa likiwa na mikondo 5 @40 !!
 
Nataka kusema "Tanzania bila elimu inawezekana kabisa, muhimu ni kuwa na Bombardier tu!"
Kwahyo tutakodi Marubani toka nje au...????
Au mpango wa Bombardier ni muda tuu ili kufanikisha matakwa ya kisiasa..???

Mkuu fafanua Chige bhuna....,
Niko pembeni nasubiri
 
Kwahyo tutakodi Marubani toka nje au...????
Au mpango wa Bombardier ni muda tuu ili kufanikisha matakwa ya kisiasa..???

Mkuu fafanua Chige bhuna....,
Niko pembeni nasubiri
Sisi tunachotaka ni kuwa na ndege, basi!

Kwani hata zikipaki si zetu? Sio sharti ziruke bhana na kama lazima tuzirushe sisi wenyewe, tutazirusha tu... tuna mashule kibao ya kufa mtu na ya kitanzania!

Kuna St Marian, St Francis, kuna Feza n.k n.k... hao wengine wakimaliza FIV waende tu VETA wakajifunze kuendesha mwendo kasi, ngoma droo... wote madereva! Wa shule zetu madereva wa mwendokasi na wa shule zao madereva wa bombardiers!
 
kwani kajenga nani shule hizo?
Mjenzi hatumfahamu lakini tunafahamu serikali ni moja ya wadau wakuu katika kufanya hizo shule zisiwe na matokeo mabaya namna hii!
 
Utandawazi unaharibu sana watoto siku hizi
Watoto hawasomi kwa bidii
Watoto hawajui majukumu yao kama wanafunzi
My point
Hata ungewapa walimu wazuri kwa kiwango gani bado matokeo yangeweza kuwa mabovu tu.

Kwa hiyo huu utawazi upo kwa watoto Wetu na shule zetu ama? Ina maana watoto wao na shule zao hawana utandawaz tuache ujinga tupaze saut zetu
 
Back
Top Bottom