Ndugu zangu nipo maeneo ya kongowe, njia ya kuelekea Mtwara yanapo pelekwa mabomba ya gesi kwa malori, cha ajabu naona malori ambayo siku zote, hubeba mabomba ya gesi kupeleka kusini, mwa nchi kule kunako chimwa gesi, leo naona baadhi ya malori yanatoa manomba mtwara yana leta dar, bado natafiti tatizo nini hadi mabomba haya yanarudi. Labda kunagari imepinduka, au ndo maisha ya 10%. Kwa sababu kilichotokea leo cha kurudisha mabomba kilitokea mwezi wa tisa tena mwaka huu 2013, Ndio maana nimesema nafanya uchunguzi kujuaa tatizo nini? Mabomba haya yameifadhiwa eneo la mbagala mzinga dar es salaam na eneo mwandege wilaya ya mkuranga karibu na kiwanda cha matunda cha Azam huku pwani, nikiwa naandika taarifa hii mengine yamepita sasa hivi saa 15:12pm leo tarehe 30/12/2013, naomba wadau tupeane uelewa, sija lalamika wala kumlaumu mtu yoyote, ila napenda kupata ufafanuzi ili limekaaje. Source mimi mwenyewe.