Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,046
Kuna taarifa kwamba Tanzania inataka kupitia upya vivutio ilivyotoa ili bomba hilo lipite Tanzania. Sasa wamegundua hakuna faida kwa Tanzania. Ilikuwa rahisi sana kuisema mikataba ya ovyo ya Mkapa na Kikwete.
Hili la bomba ni awamu hii iliyojinasibu haitaki mikataba ya ovyo. Waganda na makampuni makubwa hawakubali upuuzi huo wa Tanzania.
Huenda bomba likapita Kenya kama ilivyokusudiwa mwanzo. Ukigeugeu wa Tanzania umemkera mno Kaguta Museveni.