Boma linapatikana kwa mauzo – Kimanzichana, Mkuranga

Boma linapatikana kwa mauzo – Kimanzichana, Mkuranga

G

guest-1789818704

Guest
Wana-JF, boma linauzwa moja kwa moja kutoka kwa mmiliki. Limefikia kozi 11 na lina potential nzuri kwa mwekezaji anayehitaji kuendeleza ujenzi kulingana na matumizi yake.
🏠 Vyumba 5 – 4 Master
🛋️ Sitting Room | 🍽️ Dining | 🍳 Kitchen | 📦 Store
📐 Kiwanja: mita za mraba 19m × 17m na 18m × 14m
💧 Kisima cha maji kipo
⚡ Umeme upo
🏗️ Kifusi tayari kimeshamwagwa
📍 Location: Kimanzichana kwa Gongo, Mkuranga – Pwani.
🚶 Dakika 3 tu kwa miguu kutoka Kilwa Road, na ukiwa kwenye site barabara ya lami inaonekana.
Kwa bei ya 18,500,000 maongezi yapo
💡 Linafaa kwa makazi, nyumba za kupangisha, Guest House, zahanati au uwekezaji mwingine kulingana na mahitaji ya mnunuzi.
📄 Hali ya umiliki haina mgogoro.
👀 Site visit ni bure. Mwekezaji/mnunuzi mwenye interest, tufanye mazungumzo ya bei na utaratibu wa mauziano.
📞 0622 267 144
Mmiliki mwenyewe
 

Attachments

  • 20260825_131454.jpg
    20260825_131454.jpg
    1.5 MB · Views: 9
  • 20260825_131351.jpg
    20260825_131351.jpg
    1.2 MB · Views: 9
  • 20260825_132325.jpg
    20260825_132325.jpg
    1.5 MB · Views: 6
  • 20260825_132802.jpg
    20260825_132802.jpg
    1 MB · Views: 7
  • 20260825_133305.jpg
    20260825_133305.jpg
    1 MB · Views: 9
  • 20260825_133333.jpg
    20260825_133333.jpg
    1.8 MB · Views: 7
  • 20260825_133338.jpg
    20260825_133338.jpg
    969.6 KB · Views: 8
  • 20260825_133348.jpg
    20260825_133348.jpg
    1 MB · Views: 6
  • 20260825_133656.jpg
    20260825_133656.jpg
    1.1 MB · Views: 6
  • 20260825_133321.jpg
    20260825_133321.jpg
    1.6 MB · Views: 6
  • 20260825_132337.jpg
    20260825_132337.jpg
    1.4 MB · Views: 7
Aisee vyumba vitano vimeingia kwenye sqm 285 yani 15×17... Parking ipo?
Parking ipo ya gari 1 na nyuma pan sehemu ya kuchimba kalo la choipia eneo lipo ndani ya uzio mdogo sasa sijajua kama ntakuwa nimefanya makadilio ambayo hayako sawa kwenye sqm maana ukubwa wa kiwanja ni 19m × 17m na 18m × 14m
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom