Boko haram

Boko haram

Status
Not open for further replies.
Boko haram maana yake elimu ya Magharibi haram! Hawataki elimu yote ya Magharibi!

Msimamo wao ni marufuku kuwa na Newton's laws of motion, Einstein, Galileo, Van der Waal forces etc.

Wanataka kuwe na Osama's First Law of motion! Ridhiwan's principle of mixture

Duh,hii kweli kali Mkuu hiyo Ridhiwan's Principle of Mixture ningeomba uidadavue Mkuu maana imeniacha Dilema mbaya.
 
Last edited by a moderator:
Ivi Hili Kundi limewashinda kweli serikali ya Nigeria? Au wao ndio wanafanya hivyo makusudi?
 
Kupitia comments za watu;then angalia thinking and reasoning capacities ya watu hao.Ni nin umegundua?
 
ni vema kama watu wangezungumza kwa data...sheria ya kiislam ni kwamba mtu akiua pasi na haki nae auawe..ila nyinyi mwaona propaganda ya boko haram.......vipi hii real story ya wakristo wanavyowaua waislam pale Africa yakati!!!! ule ndo ubinadam??? hamuoni waisrael wanavyowaua wa Palestine na kuwanyang'anya. ardhi Yao..ule sio ugaid?? au akijitetea muislam ndo ugaidi? KAMWE USITIZAME SHILINGI KWA UPANDE MMOJA....jadili kwa hoja plz...na sio kukurupuka tu...
 
Mbona Waarabu wako nyuma kimaendeleo, nani kawadhulum?, we kubali kwamba mkoloni wa kiarabu hakuwa na desturi ya elimu. Ndiyo maana wa Asia wenzake kama wachina, wajapan, wahindi wana technolojia kubwa na sasa wanapeleka vyombo mwezini. Kwa upande wa mwarabu hata kuchimba mafuta hawezi mpaka achimbiwe na wazungu apewe share

Waarabu hawako nyuma kimaendeleo km unavosema na wao ndio ktk nchi zenye maendeleo makubwa sn sababu ya utajiri wa mafuta uliopo kene nchi zao.nenda kwenye nchi yoyote ya kiarab afu ujionee jinsi walivo mbali kimaendeleo na hasa social welfare wako sawa kwa maana kwao c rahisi kumtambua masikini ni yupi na tajiri ni yupi
 
Jiulize na mauaji ya huko Central Africa waislam wanavochinjwa. ila Jf habari hii wanaipuuza , hii ndio bias ya udini.
Jiulize hao Seleka kwanza ndio uje na suala la boko haram. Tazama hii lakini picha zinatisha (warning).


ISLAM,Centrafrique,Central Africa,Christians burn Muslims alive - YouTube

Ingia hapa kwenye Surah Ghaafir. Scrow mpaka aya ya 60 uone utamu. JAMAA WAPIGWA MUHURI WA JEHANNAM NA ALLAH WAO. Huu ni MSIBA na ni wa kuwaonea huruma hawa.

Quran 40: 60. Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.


Ghaafir
 
Hivi kweli kuna mkrito mwenye akili anatoka kwenye ukristo na kuhamia uislamu.

We biskuti tatizo umaskini unakusumbua... every day more than 120000 makafiri wakikilisto wanahamia UISLAM
 
Boko haram maana yake elimu ya Magharibi haram! Hawataki elimu yote ya Magharibi!

Msimamo wao ni marufuku kuwa na Newton's laws of motion, Einstein, Galileo, Van der Waal forces etc.

Wanataka kuwe na Osama's First Law of motion! Ridhiwan's principle of mixture

ha ha ha ha! that skunk kahtaan would like this!
 
Hivi msipoonyesha tofauti zenu za dini maisha hayaendi???!!!
 
Terrorists are nothing else but agents of the devil, bent to fulfill Satan's 3 fold mission which are to kill, to steal and to destroy.

The devil is using as many tactics that are available to execute his diabolical mission at this end time, the devil knows that his time is very short and he is unleashing fiendish terror on the world to destroy as many as he can before his time is up through Allahic jihad.

We are living at the last days and the signs are conspicuous. The only and sole solution to all of these War, Crisis, terrorizing, Austerity and Global Economic meltdown is the Prince of Peace Jesus Christ. He is coming back very soon... Do you have a relationship with Him through His Spirit...If the Messiah... or Death comes now, where will you end up? Where will you spend your Eternity (Heaven or Hell)...The Choice is yours.
 
Watu walishajua mtego huo, wakaukwepa. Mwenye akili uona shari na kuikwepa bali mjinga huendelea mbele na kuumia. Mithali za Suleimani hizo.
Wakristo anzisheni basi tuone.
 
Mstari wa 33 chapter ya 17 katika kuruani inakataza mauaji yasiyo na sababu ya msingi.Sidhani kama boko haram usomaga haya hizi wangekuwa wanasoma wasingeua watoto wa shule
zipo nyingi zinazopingana, wafuate ipi waache ipi?. Boko Haram wamefuata aya hizi hapa, sio kosa lao, wanatimiza matakwa ya dini yao.

9:5

Sahih International
And when the sacred months have passed, then kill the polytheists wherever you find them and capture them and besiege them and sit in wait for them at every place of ambush. But if they should repent, establish prayer, and give zakah, let them [go] on their way. Indeed, Allah is Forgiving and Merciful.

9:29

Fight those who do not believe in Allah or in the Last Day and who do not consider unlawful what Allah and His Messenger have made unlawful and who do not adopt the religion of truth from those who were given the Scripture - [fight] until they give the jizyah willingly while they are humbled.

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom