Ndiop maana watanzania huwa tunashindwa mitihani. unaulizwa swali badala ya kutoa majibu unauliza swali. Umeuliza maswali mazuri sana lakini kabla sijajibu ugethibitisha au kukanusha kwanza facts nilizomhainishia huyo KATANI kwanza kama umeamua kuwa AMICUS CURIE wake au kumpa PRO BONO legal aidPunguza speed kwanza.
Twende pole pole.
Joseph kony of Uganda with his lord resistance army anaebaka wanawake kila siku na kuingiza watoto kwenye jeshi la wokovu ili asimamishe amri kumi za yesu kristo anauwakilisha ukristo kweli ama si kweli??
Mel ya kwanza kuja kuchukua watumwa pale ghana mababu zetu na kuwapeleka ulaya kuwauza iliitwa jina la jesus ambae ni mungu wako mzungu kweli ama si kweli??
Twende pole pole...
nilivyomsikia yule mkuu wa boko haramu akijigamba kwenye tv nilishikwa na hasira kidogo nivunje tv nimchomoe nimuue
Ndiop maana watanzania huwa tunashindwa mitihani. unaulizwa swali badala ya kutoa majibu unauliza swali. Umeuliza maswali mazuri sana lakini kabla sijajibu ugethibitisha au kukanusha kwanza facts nilizomhainishia huyo KATANI kwanza kama umeamua kuwa AMICUS CURIE wake au kumpa PRO BONO legal aid
Jiulize kwanza hilo ni agano gani na ufafanuzi wake katika agano jipya unasemaje! Biblia sio ya kukimbilia aya na kuisoma pekee kama kuruwani
Allah kasema tuwauze wanawake hawatakiwi kusoma kwa mjibu wa mtumishi wake Abubakar shakau
Kumbe Andiko lenu lina Versions Mbali Mbali??
Kumbe huwa linapitwa na wakati ndio kwa maana mna edit??
Sasa hayo ni maneno ya mungu au maneno ya mzungu??
Sikuja kuitengua torati bali nimekuja kutimiliza
Siku ya hukumu Mungu hataangalia kama uliua itakula kwako bila kujali wewe ni boko haramu,delta force ama Navy seal.
Hataangalia kama ulitumwa na osama bin laden ama ulitumwa na george bush ama obama.
Hawa ni watoto wasio na hatia waliouawa kwa makombora ya wamarekani.
sasa alipokuja kutimiliza ndio kawaambieni kuwa mufungishe ndoa za jinsia moja au ndoa hizo wanadamu na wanyama??
Tujuzane.
Kumbe Andiko lenu lina Versions Mbali Mbali??
Kumbe huwa linapitwa na wakati ndio kwa maana mna edit??
Sasa hayo ni maneno ya mungu au maneno ya mzungu??
mzee wa upako anaweza kutumia aya ya kutoka katika kitabu cha hesabu aliyoiweka kahtan kufanya kama walivyofanya boko haramu,kweli si kweli?
ni kwamba tu hatutaki kuifanya hii thread kuwa ya kidini zaidi kwa kuweka aya za bibilia zinazokua na misimamo ya ndivyo sivyo.
Kuna maelfu ya aya mkuu za bible ambazo ni very extreme na christian hardliner yeyote anaweza kuzitumia kujustify unyama,umemsahau kibwetere,ama david koresh?
Wacha kunyambua nyambua maandiko kama mwanamke anachambua mchele!
Toa andiko MOJA KWA MOJA KWENYE KITABUA KIKUU KAMA MFANO HUU HAPA!.
HESABU 31.15-18
15 Musa akawauliza, Je! Mmewaponya wanawake wote hai?-
16-Tazama, hawa ndio waliowakosesha wana wa Israeli, kwa shauri la Balaamu, wamfanyie Bwana dhambi katika hilo jambo la Peori, na kwa hivyo pigo lilikuwa katika mkutano wa Bwana.-
17-Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mume kwa kulala pamoja naye.-
18-Lakini hao watoto wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.-
NYIE mmepewa ruksa ya kuuwa wanamme WOTE! na wanawake wote ambao sio BIKRA! na mmepewa ruksa ya KABAKA WATOTO WADOGO! Tena bila kutaja umri!!
ANDIKO LA MASHETANI NI HATARI KULIKO BOKO HARAMU.
mkuu una uhakika wayahudi hawana Roho mbaya? Angalia halaiki ya kipalestina inavyouawa kila siku na majeshi ya kiyahudi, mahaba yakizidi sana hufunika busara!Unaposema Mungu si mzungu una maanisha nini? Yesu ni Myahudi, alikuja kupitia kabila la Kiyahudi ingawa hana baba. Au ulitaka aje kupitia kabila lenye Roho mbaya la Kiarabu?
Tanzania ni nchi ya 29 kati ya 160 zenye kuuza watu (utumwa) duniani. Kumbuka na hakuna vita hapa. Lini ulishakemea?
Ushahidi: Walk Free Foundation – Global Slavery Index 2013 | Findings - Walk Free Foundation - Global Slavery Index 2013
yap,nakubali kuwa wakristo wamegundua bunduki na silaha zote za maangamizi ya kuua wanadamu.wakristo ndo wamepiganisha vita ya kwanza,ya pili na kupelekea mauaji ya mabilioni ya watu na watapiganisha tena vita vya tatu.wakristo ndo watakua mwanzo wa dunia hii kuteketea,wewe unatoka povu na boko haramu?.
Boko haramu ni just a small time nuisance(sp?).
Unaposema Mungu si mzungu una maanisha nini? Yesu ni Myahudi, alikuja kupitia kabila la Kiyahudi ingawa hana baba. Au ulitaka aje kupitia kabila lenye Roho mbaya la Kiarabu?
Hujielewi.....
BH are Satan incarnate and believers of a certain fictitious deity of Saudi Arabia. We Christians created even the Coputer you are using, haikuteremshwa na Allah. Hata kasimu unako katumia kametengenzwa na sisi, na wala Allah hana ubavu wa kushisha hizo. Ndio maana nyie mtabakia kuwa wafuasi wetu mpaka siku ya mwisho. Poleni sana wafuasi wa dini ambayo haina jema zaidi ya kuharibu mambo mema.
Hakika mtalipa dhambi zenu zote mnazo fanya hapa duniani. ENDELE KUTETEA BH kwani wanafanya kazi ya Allah na Muhammad.
Mabomu ya nyuklia na silaha zimetengenezwa na wakristo wayahudi au waislam??
Nadhani muasisi wa hivyo vitu ndie muovu zaidi,na sie mtumiaji..
Besides ni waislam gani hasa unaorefer kuwa ni watumiaji wa hizo silaha?