Boko Haram wateka wasichana wengine 8

Status
Not open for further replies.
wapi, wakati alikimega akiwa na miaka 6 na kuona aibu na kupotezea kwa kukioa:shetani: akiwa na miak 9 mi nazan jamaa pia ki2 ya arusha alitumiaga ukiachilia alikuwa govi
 
Hizi imani zinamthalilisha sana mwanamke wakati huo huo kwa maneno wanawasanifu wanawake wao kuwa dini yetu inamuweka mwananke katika nafasi iliyo juu hjuku wakiwanyanyasa kana kwamba wao sii binadamu wa kawaida
 
Please Americans,cut this neck of allahic disease!!!
 

Siamini katika matusi,husda,kejeli n.k. Naamimi katika hoja. Na huu upuuzi wa kutukanana hauna tija kwa dini au imani.
Hoja yangu ni kwamba dola za kiislamu au ukristo haziwezi simama kwa matusi,kuuana wala husda,zitasimama kwa kuhubiri yaliyo mema katika mafundisho yao.
Chukulia kama ukristo haupo harafu hubirini,na wakristo wafanye hivyo hivyo.
Lengo tusikie mazuri katika mafundisho ya dini zote. Sio hizo double standards za visasi na matusi.
 
Boko haramu ni CIA operation na mpango ni kuwa nigeria isambaratike kufikia 2015 kwenye uchaguzi mkuu.
Soma uchunguzi wa wikileak.
thenigerianoracle.com/2013/07/21/boko-haram-is-a-cia-covert-operation-wikileaks/
 

Wacha kunyambua nyambua maandiko kama mwanamke anachambua mchele!

Toa andiko MOJA KWA MOJA KWENYE KITABUA KIKUU KAMA MFANO HUU HAPA!.

HESABU 31.15-18

15 Musa akawauliza, Je! Mmewaponya wanawake wote hai?-

16-Tazama, hawa ndio waliowakosesha wana wa Israeli, kwa shauri la Balaamu, wamfanyie Bwana dhambi katika hilo jambo la Peori, na kwa hivyo pigo lilikuwa katika mkutano wa Bwana.-

17-Basi kwa ajili hiyo mwueni kila mume katika hao watoto, na kila mwanamke aliyemjua mume kwa kulala pamoja naye.-

18-Lakini hao watoto wote wa kike ambao hawakumjua mume kwa kulala pamoja naye, mtawaweka hai kwa ajili yenu.-

NYIE mmepewa ruksa ya kuuwa wanamme WOTE! na wanawake wote ambao sio BIKRA! na mmepewa ruksa ya KABAKA WATOTO WADOGO! Tena bila kutaja umri!!
 
Hizi imani zinamthalilisha sana mwanamke wakati huo huo kwa maneno wanawasanifu wanawake wao kuwa dini yetu inamuweka mwananke katika nafasi iliyo juu hjuku wakiwanyanyasa kana kwamba wao sii binadamu wa kawaida

Aliye mnyanyasa mwanamke ni nani!
Au nani aliyekwambia kuwa boko haramu wanawakilisha uislam!

Kapate elimu kwanza kabla ya kuweka comments!
 
Jiulize kwanza hilo ni agano gani na ufafanuzi wake katika agano jipya unasemaje! Biblia sio ya kukimbilia aya na kuisoma pekee kama kuruwani
 
Yes, nimefurahi sana kwani wamepata mtaji, asubuhi si mlisema wanawauza? Fikiri, asubuhi ukiwa na bidhaa 200 mchana zikawa 208, si la kufurahia hilo?
Jeshi la Marekani lianze na huyu bibi na lisimpeleke Guantanamo, adhabu yake afungiwe jiwe zito atoswe baharini akaolewe na Osama! Huwezi kuwa na roho isiyo na huruma this way!


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Nasikia marekani kaingilia,ngoja tusubiri tuone.
marekani kama sio deal lake angeweza kuingilia siku hiyohiyo ya tukio kuliko kusubiri zimepita wiki tatu.marekani ana kikosi cha drone pale Niger jirani na nigeria,hizo drone kama hujui zina uwezo wa kupiga picha na kusoma maandishi yaliyoko kwenye pakiti ya maziwa iliyo ardhini na zinakua juu sana hizo drone kiasi kuwa huwezi kuziona kwa macho,which means drone zingeweza kuwafuatilia mda wote na kuwakeep undersurveillance mda wote na hivyo kujua mateka wanashikiliwa wapi,lakini haijafanyika hapo unajiuliza why?.

Kwasababu kuna maslahi yao ndo maana wanajivutavuta sawa tu na kwenye tukio la ndege ya malaysia iliyopotea.
Kwa ufupi marekani wanajua wapi hao watoto wamefichwa.
Sasa eti wanajidai kutuma wataalamu wa kunegotiate na boko na washauri wa kiusalama my feet.
 
Antibalaka ni kama boko haramu tu

Kulikoni mwalalamikia upande mmoja??
achilia mbali ant balaka,joseph konyi mwenyewe ndo ilikua kazi zake kuteka watoto na kuwaoza kwa wanajeshi wake lakini hakuna mtu aliwalabel na kuwaita majina mabaya wakristo wote kwa sababu ya vitendo vya Lord resistance army ya joseph könyi.
 
Aliye mnyanyasa mwanamke ni nani!
Au nani aliyekwambia kuwa boko haramu wanawakilisha uislam!

Kapate elimu kwanza kabla ya kuweka comments!
Elimu niliyonayo inaniambia boko haram ni kikundi cha kiislam kweli si kweli?
Elimu niliyonayo inaniambia boko haram wanataka nigeria iwe islamic state kweli si kweli
Elimu niliyonayo inaniambia boko haram wanafanya matendo yao kwa kufuata maandiko ya quran kweli si kweli
Elimu niliyonayo inaniambia boko haram wanatekeleza sharia law na wanataka wanaigeria waote waifuate kweli si kweli
Elimu niliyonayo wanakataza wanawake kusoma elimu ya kawaida na kuwateka ili wakaolewe au wasome elimu ya dini kweli si kweli
 
hao askari wa nigeria kazi yao nn?inakuwaje wanazidiwa kiasi hicho?
hapo kuna kitu kuna viongozi serekalini pmja na baadhi ya maaskari wanamafungamano na hilo kundi
 
haijalishi,hata mzee wa upako anaweza kuanzisha movement ya kutaka nchi itawaliwe kwa amri kumi za moses na wasiokubali wawe attacked,but huo ni msimamo wake sio msimamo wa wakristo wote.
 
hapo kuna kitu kuna viongozi serekalini pmja na baadhi ya maaskari wanamafungamano na hilo kundi
ni kuwa wakiwa mabwenini wakasikia milio ya risasi kwa mbali,then ikafika truck ikiwa na watu wamevaa combart za jeshi na kuwambia wao ni askari wamekuja kuwapa ulinzi,wakawaamuru wapande kwenye lorry.wasichana wakadhani ni kweli wakapanda na gari ikaondoka nao.kuja kugundua wameingia mkenge ikawa ni too late.

Rais wa naijeria jonathan baada ya siku chache akajichanganya kuwa eti,''the girl are safe now in our hands''.
Halafu akaja kukanusha tena kuwa amenukuliwa ndivyo sivyo.
Baadae tena wamama wa watoto waliotekwa wakaandamana kushinikiza serikali iwambie watoto wao wamepelekwa wapi,mke wa rais jonathan akatoa amri wale wamama wakalowekwa ndani kwa kutishia amani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…