Boko haram wanatafuta nini?

Boko haram wanatafuta nini?

TOURMALINE

Senior Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
125
Reaction score
24
Wakuu heshima zenu,
Kuna hili kundi la kigaidi, nimeshindwa kuwaelewa hawa jamaa wanataka nini hapo Nigeria, mana kila siku wanaua mamia kwa mamia, mwenye kuwa na ufahamu zaidi na hili kundi atujuze

Nawasilisha
 
Maana y Boko haram ni Elimu dunia ni haramu sasa akili zako changanya na kuambiwa.
 
Wakuu heshima zenu,
Kuna hili kundi la kigaidi, nimeshindwa kuwaelewa hawa jamaa wanataka nini hapo Nigeria, mana kila siku wanaua mamia kwa mamia, mwenye kuwa na ufahamu zaidi na hili kundi atujuze

Nawasilisha

Umepangiwa shule gani A-level?
 
Back
Top Bottom