Hapa niko darasani, ninajifunza kutoka kwako, Msomi na Mjuzi mzuri sana wa Islamu.Unajuwa maana ya Boko Haram? na unajuwa kwanini wanadai wapewe sehemu yao wajitawale? Ulishawasikia kabla ya huyu Rais kushika? walikuwepo lakini uliwasikia? Jiulize kwa nini? au soma kidogo uelewe kwanini.
Kina John Garang walivyodai Sudan ya kusini, kuna mtu aliwaita ma "terrorist"? Fikiri.
Nishakuchoka na haya maneno. Kwanza wewe ulikuwa mtoto mdogo enzi hizo!Kama ulikuwepo unajuwa jinsi tulivyochangishwa na Nyerere kuwasaidia Biafra, na jinsi alivyo wa support. Au hujui hilo?
Hapa niko darasani, ninajifunza kutoka kwako, Msomi na Mjuzi mzuri sana wa Islamu.
Naomba kabla sijapotoka uniweke sawa. Unazifananisha harakati za kina Garang na Harakati za Islam?
Unasema, wanadai wapewe sehemu yao wajitawale? ni lini iliwahi kuwa yao? walinyanganywa lini?
Leo nitakupa changamoto my dear. Kama Islamu ni dini ya Mungu isingekuwa na hofu ya kuchangamana
na imani zingine alafu Binaadamu huru, kwa kadri alivyobarikiwa na Mwenyezi Mungu uwezo wa kufikiri
na kutafakari, including you Faiza, aweze kuichunguza, na kuipima kisha afanye maamuzi bila kushurutishwa
ama kuifuata ama kuisukumia mbali kabisa. yeyote ajitengae na wenzake ni mchawi.
Hawavai kuficha mabomu kama ninyi....Hawavai kukwepa wanaowajua km ninyi mnavyofanya kwa waume zenu na kupishana nao katika mawindo ili msijulikane.Muislam anapodai haki yake ni hatari, M kurusedi anapoiba na kuhamisha mali zote nje ya Nigeria na kuiwacha nchi yenye utajiri wa mafuta ni sahali. Unanshangaza! Ndio hayo, ma nun wanapovaa hijabu ni watu wa Mungu, Mwanamke wa Kiislaam anapovaa hijab, ananyanyaswa!
Hawavai kuficha mabomu kama ninyi....Hawavai kukwepa wanaowajua km ninyi mnavyofanya kwa waume zenu na kupishana nao katika mawindo ili msijulikane.
Umeshawahi kuisikia Biafra aliyoiunga mkono Nyerere? kama hujaisikia isome, halafu uje kutoa mawazo yako kama hujaisikia kaa kimya. " No research no right to speak" - Padre Slaa.
Nishakuchoka na haya maneno. Kwanza wewe ulikuwa mtoto mdogo enzi hizo!
..............uliona wapi haki inaletwa kwa njia ya Posta?.............. hivi umewahi kuhoji kwanini nchi za Ulaya haswa Marekani, zimejaza majeshi kila mahali Duniani ? Ni uchokozi wa Waislaam ndio unaofanya waweke Base (Al Qaida) kila mahali, Bush alikuwa anawagaia pipi watoto wa Kiiraq( Watu wangapi wameteketea kwa vita ya dhulma ya Iraq) Je huko ndo kuustaarabika !. Hivi Vita ya kwanza na ya pili ya Dunia ni juu ya Uislaam ! Wake up DUDE !Faiza
Katika Jamii ya watu waliostaharabika na wenye hofu juu ya Mungu haiwezekani hata kidogo kujustify
udaiji wa haki kwa kuuwa watu wengine.
Niko tayari kujifunza kutoka kwako, lakini ninachokijua mimi ni kwamba, katika makundi yote duniani
yanayotumia kwa namna moja ama nyingine neno "Mungu" ni Islam peke yake ndio kundi lililo radhi
kuua binaadamu wengine hasa wasiojitambua nalo kwa kigezo cha kudai haki zao.
Ukisikiza madai ya Islamu unakuta kwamba ili yaweze kutekelezeka kwa namna yoyote ile, wanahitaji
kuwa na Geographical bounderies.
Kitu kinachonichanganya ni kwamba, ni kwanini Islamu imeshindwa kuwa na Geographical bounderies
ukilinganisha na Umri wake, wakati vikundi vingine vidogo vidogo tu kama, Tanzania vimeweza kuwa
na very clear bounderies wakati vina umri mdogo sana. why?
Islamu imekuwa ni kama mwiba kwenye nyama popote ilipo. Imekuwa kero.
Biafra!!! So what? Biafra war was more a tribal war. if there was anyting religious, it was Islam compaining even then.
Naomba ujibu hoja ya msingi, Kwa nini Islamu inalilia kujitenga na Jamii nyingine kila siku? Kwa nini ni kundi lalamishi
kokote liliko duniani? Kwa nini wwaislamu wa Maiduguri wamesahau namna wanavyounganishwa na Historia ya Makabila yao
badala yake wanajiona walivyo wanyenge katika uislamu wao?
............... kwanza tatizo lako kubwa fikra zako haziko huru ! umejaa propaganda za CNN na CBA na wengineo ! Enzi za Mtume Muhammad S.A.W, wasio Waislaam walikuwa ndio kimbilio lao kwa kuhukumiwa kwa haki na ulinzi !Hapa niko darasani, ninajifunza kutoka kwako, Msomi na Mjuzi mzuri sana wa Islamu.
Naomba kabla sijapotoka uniweke sawa. Unazifananisha harakati za kina Garang na Harakati za Islam?
Unasema, wanadai wapewe sehemu yao wajitawale? ni lini iliwahi kuwa yao? walinyanganywa lini?
Leo nitakupa changamoto my dear. Kama Islamu ni dini ya Mungu isingekuwa na hofu ya kuchangamana
na imani zingine alafu Binaadamu huru, kwa kadri alivyobarikiwa na Mwenyezi Mungu uwezo wa kufikiri
na kutafakari, including you Faiza, aweze kuichunguza, na kuipima kisha afanye maamuzi bila kushurutishwa
ama kuifuata ama kuisukumia mbali kabisa. yeyote ajitengae na wenzake ni mchawi.
Kwenye Falsafa ya Survival for the fittest, Inasemekana kwamba ni vile vitu imara peke yake vinaweza kuimiri
changamoto za mabadiriko. sio kwa kukimbia, bali vyenyewe ndio vitabaki na vile weak vitakimbia au kufikwa na
natural death.
Je ninakosea kuichukulia Islam namna hiyo.
Soma hapa ujuwe Biafra war ilikuwa ni ya nini, usikurupuke, ukimaliza uniambie ina tofauti na Boko Haram? zilibadilika ni strategy tu, sababu ni zile zile: The Biafran War, Nigerian History, Nigerian Civil War
............... kwanza tatizo lako kubwa fikra zako haziko huru ! umejaa propaganda za CNN na CBA na wengineo ! Enzi za Mtume Muhammad S.A.W, wasio Waislaam walikuwa ndio kimbilio lao kwa kuhukumiwa kwa haki na ulinzi !
Soma hapa ujuwe Biafra war ilikuwa ni ya nini, usikurupuke, ukimaliza uniambie ina tofauti na Boko Haram? zilibadilika ni strategy tu, sababu ni zile zile: The Biafran War, Nigerian History, Nigerian Civil War
..............uliona wapi haki inaletwa kwa njia ya Posta?.............. hivi umewahi kuhoji kwanini nchi za Ulaya haswa Marekani, zimejaza majeshi kila mahali Duniani ? Ni uchokozi wa Waislaam ndio unaofanya waweke Base (Al Qaida) kila mahali, Bush alikuwa anawagaia pipi watoto wa Kiiraq( Watu wangapi wameteketea kwa vita ya dhulma ya Iraq) Je huko ndo kuustaarabika !. Hivi Vita ya kwanza na ya pili ya Dunia ni juu ya Uislaam ! Wake up DUDE !
:rant:
It make sense ! Mpalestina akiuliwa na Cluster Boom ya Myahudi na yeye anavaa mabomu na kujilipua sokoni au kituo cha basi ! Iweje mama yako wewe au mdogo wako awe bora na wa wengine ni takataka ! Any struggle for rights, justice and freedom has the price to pay. Uislaam unapinga 'kuonea' au 'kuonewa' kudhulumu au kukubali kudhulumiwa. Ukikubali katika kila kilo moja ya dhahabu upewe mrahaba wa 3% hiyo ni shida yako.Acha kutoka nje ya mada, sijazungumzia issue za mataifa, na nimekuwa very specific, nazungumzia makundi ya kiimani,
Kwa sababu kwa namna unavyoandika ni kama vile unasema, mbona Marekani iliua wairaq, na Boko haram wana haki
ya kuua yeyote wanayetaka. does this make sense?
l
It make sense ! Mpalestina akiuliwa na Cluster Boom ya Myahudi na yeye anavaa mabomu na kujilipua sokoni au kituo cha basi ! Iweje mama yako wewe au mdogo wako awe bora na wa wengine ni takataka ! Any struggle for rights, justice and freedom has the price to pay. Uislaam unapinga 'kuonea' au 'kuonewa' kudhulumu au kukubali kudhulumiwa. Ukikubali katika kila kilo moja ya dhahabu upewe mrahaba wa 3% hiyo ni shida yako.
Mkuu unanipa burudani jinsi unavyo wachalenji hawa wana wa AllahSafi sana Ally, sasa tunaelekea kwenye Ukweli, Nakubaliana na wewe.
It is the spirit of God only which will never pay evil for evil, sisi Binaadamu hatutegemewi kushtuka hata kidogo pale tunapolipiziana visasi, hata mimi, in the spirit of human, Nakubali, sishangai na ninaunga mkono harakati za kundi lolote lile linalolipiza kisasi
ili kuleta heshima, kundi lolote lile linalotumia nguvu ili kujilinda na wabaya wake ama linalopigania kujipatia au kujirudishia haki zake.
Nawaunga mkono Palestina dhidi ya Israel, Mpaka Kesho sikubaliani na namna Mohamed Ghadafi alivyoondolewa Madarakani, na ninaomba nikuambie kwamba, nawaunga mkono waislamu katika harakati zao zozote za kudai haki zao lakini nikifikia hapa na mimi naomba nikubaliwe hoja yangu.
Kwamba, Haiwezekani hata kidogo, Mwenyezi Mungu akataka Imani yake isambae, ikubalike na wala isiharibike kwa kuuwa watu
wengine, imani hiyo haiwezi kuwa ya Mwenyezi Mungu.I mean Islam must have nothing to do with God. Nothing at all. May be some other gods