Boko haram (nigeria)

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,107
18,323
1.
boko-haram-members.jpg

2.
July%2B27,%2B2009%2BMaiduguri,%2BNigeria%2Bbodies%2Blie%2Bstreet%2Bfront%2Bpolice%2Bheadquarters%2Bfollowing%2Bclashes%2Bpolice%2BNigerian%2Bauthorities%2Bimposed%2Bcurfews%2Bpoured%2Bsecurity%2Bstreets.jpg

3.
boko_haram.jpg

HIVI NI MUNGU YUPI ANAFINDISHA HAYA???
 
mungu wa Muhamad SAW. Ni bora kujua kuwa Egypty, Sudan, Algeria na Morocco ni maeneo ambayo Ukristo ulifika awali katika bara la Africa. Unajua nini kilitokea baada ya kuzaliwa kwa jamaa?
 
Sasa Mkuu mbona umekatisha hebu tueleze basi nini kilitokea baada ya kuzaliwa hawa jamaa.
 
Jamani,

sidhani kama kuna kiumbe mkatili kuliko binadamu...! Heri hata simba na wanyama wa porini...! Ni furaha gani hao wauwaji naipata?
 
Sanamu ya Giordano Bruno iliopo mtaa wa Campo de Fiori, Rome, Italy, pahala alipouliwa. Mwanafalsafa na mwanasayansi huyu alihukumiwa kuchomwa moto akiwa hai na Baba Mtakatifu Clement VIII kwa kutangaza kwamba dunia inalizunguka jua na wala sio kuwa jua linaizunguka dunia. Jopo la wataalamu waliosikiliza na kutoa hukumu ya kesi hiyo ni Cardinal Roberto Bellarmino, Cardinal Ludovico Madruzzo, Cardinal Camillo Borghese(baadae akapata upapa na kuitwa Pope Paul V), Cardinal Domenico Pinelli, Cardinal Pompeio Arrigoni, Cardinal Paulo Emilio Sfondrati, Cardinal Pedro DeDeza Manuel na Cardinal Guilio Antonia Santario
 
Attachments

  • brunosite.jpg
    brunosite.jpg
    76 KB · Views: 80
Lazima wawe wanatumia madawa ya kulevya. Ila sijaelewa maana ya heading. Boko ni nini?
 
MZABIBU HUZAA MZABIBU na MCHONGOMA HUZAA MCHONGOMA! kamwe mchongoma hauwezi kuzaa mzabibu, Mchongoma ukija na kudai wenyewe ni mzabibu subirini muone kama utatoa matunda ya mzabibu! mtawatambua kwa MATUNDA yao! na tunayaona matunda yenyewe ndiyo haya! hatushangai
 
mungu wa Muhamad SAW. Ni bora kujua kuwa Egypty, Sudan, Algeria na Morocco ni maeneo ambayo Ukristo ulifika awali katika bara la Africa. Unajua nini kilitokea baada ya kuzaliwa kwa jamaa?
alipitisha upanga akawasilimisha kwa nguvu kama wanavyotaka kuwafanya wakristo wa sasa waishio kule Alexandria Misri na wale wakristo wa Iraq....Mungu wao ni mungu mfu asiyeweza kujipigania hadi anahitaji wanadamu wampiganie....
 
Sanamu ya Giordano Bruno iliopo mtaa wa Campo de Fiori, Rome, Italy, pahala alipouliwa. Mwanafalsafa na mwanasayansi huyu alihukumiwa kuchomwa moto akiwa hai na Baba Mtakatifu Clement VIII kwa kutangaza kwamba dunia inalizunguka jua na wala sio kuwa jua linaizunguka dunia. Jopo la wataalamu waliosikiliza na kutoa hukumu ya kesi hiyo ni Cardinal Roberto Bellarmino, Cardinal Ludovico Madruzzo, Cardinal Camillo Borghese(baadae akapata upapa na kuitwa Pope Paul V), Cardinal Domenico Pinelli, Cardinal Pompeio Arrigoni, Cardinal Paulo Emilio Sfondrati, Cardinal Pedro DeDeza Manuel na Cardinal Guilio Antonia Santario
kwahiyo kwasababu wakatoliki walifanya uasi mkubwa kwahiyo na nyie mnafanya uasi ili muwe sawa? akili ya matope hiyo....mnaongea sana hiyo sentence ili kuhalalisha ugaidi ndani ya uislam...nilimsikia shehe mmoja aliyetoka US yule aliyewekwa kipindi cha channel ten, alihalalisha ugaidi hivyohivyo akisema kuwa, wakristo pia zamani..ati zamani walifanya mauaji mengi ili kuwabadili wengine dini..that means na wao kwa sasa wanajilipua ili kuwalazimisha wakristo....uislam ni dini chafu kama shetani mwenyewe.
 
Sanamu ya Giordano Bruno iliopo mtaa wa Campo de Fiori, Rome, Italy, pahala alipouliwa. Mwanafalsafa na mwanasayansi huyu alihukumiwa kuchomwa moto akiwa hai na Baba Mtakatifu Clement VIII kwa kutangaza kwamba dunia inalizunguka jua na wala sio kuwa jua linaizunguka dunia. Jopo la wataalamu waliosikiliza na kutoa hukumu ya kesi hiyo ni Cardinal Roberto Bellarmino, Cardinal Ludovico Madruzzo, Cardinal Camillo Borghese(baadae akapata upapa na kuitwa Pope Paul V), Cardinal Domenico Pinelli, Cardinal Pompeio Arrigoni, Cardinal Paulo Emilio Sfondrati, Cardinal Pedro DeDeza Manuel na Cardinal Guilio Antonia Santario

Kwa hiyo huo uovu wa wakatoliki unahusiana vipi na huo uovu wenu?
 
mungu wa Muhamad SAW. Ni bora kujua kuwa Egypty, Sudan, Algeria na Morocco ni maeneo ambayo Ukristo ulifika awali katika bara la Africa. Unajua nini kilitokea baada ya kuzaliwa kwa jamaa?

Si kweli Allah hafundishi haya.
Hata hivyo
Ikiwa Allah ni Mungu wa amani basi uislamu usingekuwa dini ya kuuana wao kwa wao (suni and Shia) na ugaidi-kuua watu wengine wasio na hatia.

Lakini ikiwa Allah(Mungu wa mohamed) ni Mungu wa Uislamu tunaoushuhudia leo, uliojaa umwagaji wa damu, basi U-Mungu wa huyu allah..............!!!???

Lakini ikiwa tunasisitiza kuwa Allah ni Mungu wa Amani basi huu uislamu si dini yake maana hauna amani ndani yake kama alivyo yeye mwenyewe.
 
Sanamu ya Giordano Bruno iliopo mtaa wa Campo de Fiori, Rome, Italy, pahala alipouliwa. Mwanafalsafa na mwanasayansi huyu alihukumiwa kuchomwa moto akiwa hai na Baba Mtakatifu Clement VIII kwa kutangaza kwamba dunia inalizunguka jua na wala sio kuwa jua linaizunguka dunia. Jopo la wataalamu waliosikiliza na kutoa hukumu ya kesi hiyo ni Cardinal Roberto Bellarmino, Cardinal Ludovico Madruzzo, Cardinal Camillo Borghese(baadae akapata upapa na kuitwa Pope Paul V), Cardinal Domenico Pinelli, Cardinal Pompeio Arrigoni, Cardinal Paulo Emilio Sfondrati, Cardinal Pedro DeDeza Manuel na Cardinal Guilio Antonia Santario

Jambo hili lilifanyika zama za ujinga na kanisa katoliki lilikiri kwa ujinga lililoufanya na na ndiyo maana liliendesha uchunguzi lenyewe na kutubu kwa jumuiya ya wanafalsafa na wanasayansi, hiyo orodha ya waliosimamia kesi uliyoitoa hujaisoma vizuri? kuna jina la shehe hapo?

Ni kiongozi yupi wa Islam ameomba radhi kwa mauaji yanayofanywa na waislam ulimwenguzi siku za sasa?
 
Ohhh mungu wangu tusaidie tanzania maana mungu wa watu wengine anaruhusu kuuwa bila sababu
 
mungu wao mwenyewe amekiri ataingia jehanamu-kwa hio anataka watu wakumpa kampani huko motoni-soma koran 50:30 na hadith za mtume 1810
tafadhali tuwekee jamvini ,wengine hatujui hicho kiaarabu pia hatujawahi gusa hiyo quruan
 
Jambo hili lilifanyika zama za ujinga na kanisa katoliki lilikiri kwa ujinga lililoufanya na na ndiyo maana liliendesha uchunguzi lenyewe na kutubu kwa jumuiya ya wanafalsafa na wanasayansi, hiyo orodha ya waliosimamia kesi uliyoitoa hujaisoma vizuri? kuna jina la shehe hapo?

Ni kiongozi yupi wa Islam ameomba radhi kwa mauaji yanayofanywa na waislam ulimwenguzi siku za sasa?

NI KWELI WURUMI WALIFANYA HIVYO KUWANYAMAZISHA WANAFUNZI WA KRISTO NA WAMEANDIKIWA KTK UFUNUO 13 NA 14 BAADAE WATAFANYA HAYO TENA KWA UKALI ZAIDI ( Mimi ni mkristo lakini kuliko kuwa mroma bora niwe mpagani - ili nije niungane kwenye huo moto aliowekewa shetani na wafuasi wake moja kwa moja na hao waabudu majini ( malaika wa shetani).
 
Back
Top Bottom