nashukuru sana kwa mlio dare ku boil your brains!. jibu ni kwamba atatumia siku 28. kila siku atapanda mita moja juu akifika siku 27 atakuwa amepanda mita 27 na atakuwa amebakiza mita tatu. siku ya ishirini na nane atapanda mita tatu zilizobaki hadi nje. big up john hotsam da1
Sikubaliani na jibu, kwa idea ulotoa ni kwamba atatumia siku 29. Kwa sababu siku ya 28 mchana atakuwa amefika ktk mlango wa kisima na hatotoka. Usiku atashuka mita 2 na kkumfanya awe katika mita 28 za kisima tokea chini, siku ya 29 mchana atapanda mita 3 na kufanya awe amenda umbali wa mita 31 tokea chini ambapo atakuwa amemaliza mita 30 za kisima na mita 1 yanje ya kisima na kuwa ametoka moja kwa moja
Kaka' nimeelewa concern yako. tukisema kisima kina mita 30 basi hatutegemei huyo konokono anavyoanza safari awe chini ya hizo mita bali atakuwa ndani yazo. kwa maana ni kwamba wakati wa kutoka anapomalizia mita 30 ni kamkia tu ndo atakuwa anahitaji kukavuta sio kwamba itakuwa ni macho tu yanachungulia nje hivyo usiku urudi tena kisimani. sizani kama nimeeleweka. kwa maana nyingine ni kwamba urefu wa konokono ni negligible ukicompare na urefu wa kisima.
Sawa lakini kwa hesabu inategemea na conditions. Kama hujasema kwa mfano "leave pie as pie" then kwa huyu konokono anaweza kutoka wakati wowote au kutotoka kabisa. Kwa mfano anaweza akaja jamaa kuchota maji kwenye kisima hicho na kumchota pamoja huyo konokono hata siku ya pili tu ya kuzama humo. Pili konokono huyo (a biological entity) anaweza kuaga dunia kwa ajili ya uchovu na kukosa chakula baada hata ya siku 3 tu.
Lakini kwa watu wa hesabu (not a science subject) you are very right it is 27 days, big up!