konokono yupo ndani ya kisima cha mita 30 na anataka kutoka. mchana anapanda mita 3 na usiku akiwa amedozi anateleza kurudi chini mita 2. je atatumia siku ngapi kufika nje ya kisima? come one! come all!

Duh...unawaza kama mimi.....hapo anapanda mita moja kila siku...siku ya 30 atakuwa kafika juu kabisa ya kisima ila ili aweze kutoka lazima apate tena siku 1

nashukuru sana kwa mlio dare ku boil your brains!. jibu ni kwamba atatumia siku 28. kila siku atapanda mita moja juu akifika siku 27 atakuwa amepanda mita 27 na atakuwa amebakiza mita tatu. siku ya ishirini na nane atapanda mita tatu zilizobaki hadi nje. big up john hotsam da1