figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Bohari ya Dawa (MSD) imesema inahitaji zaidi ya Sh500 bilioni ili kukabiliana na upungufu wa dawa unaozikabili hospitali na vituo vya afya nchini.
Kwa sasa MSD inapata bajeti ya Sh80 bilioni, ikiwa ni pungufu zaidi ya mara sita, jambo ambalo linaondoa tija ya upatikanaji wa huduma za afya kwa gharama nafuu kwa Watanzania.
Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu, alisema hayo jijini Mwanza alipokuwa kwenye maadalizi ya kufungua duka la dawa katika Hospitali ya Rufaa ya Sekou Toure.
Chanzo: Mwananchi