Bofloooooooooooooooooooooooooo ooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Bofloooooooooooooooooooooooooo ooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
3,038
Reaction score
8,396
71459_414352788659426_498119463_n.jpg
Wana JF njooni mumuokoe Boflo@ anatolewa maini huku!!!
 
Last edited by a moderator:
Unakopa hadi kwenye naniriyuu!!ngoja wakufundishe adabu pambafu!!
 
Nakushauri kila siku boflo hatukopagi watu hao watakuua ohoo!
 
Ndio tatizo la unequal distribution ya uroda,nyumba kubwa imechachamaa sasa
 
Na wewe Boflo umezidi uzembe! Acha Preta akutoe maini maana yeye alikupeleka Jumba la Mbezi ukala bata tani yako sasa imefika zamu yako kumtoa unaleta za kuleta!

ndo zake.....nimeamua sitakuwa nikitoka nae tena........
 
Usiombee yakukute , ndiyo utaijua hiyo boooooooooooooooflo ilivyo
 
ndo zake.....nimeamua sitakuwa nikitoka nae tena........

Bora iwe hivyo. Ila ukimpata mwingine wa kumtoa uniambie, sawa eenh? Si unajua mie ndio mpambe wako nambari wani?
 
Back
Top Bottom